Author
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 1,745
- 8,222
- Thread starter
- #21
Jamani hakuna ambaye ameshawahi kuwa kwenye wakati kama huu anipe uzoefu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee nmegundua ulichepuka ila demu huyo ndo unampenda .
Tangu 2016 mzee, swala ni letu tu...Aiseee nmegundua ulichepuka ila demu huyo ndo unampenda .
Anyway mmedumu kwa muda gani?? Ili kwanza tuone km kuna bond yenye nguvu.
Pili nikosa lilojirudia au ni first time,?? Nahilo kosa ,linampa Aibu machon kwa watu au nilenu wahusika tuu.
*I shall kindly Knee to leave my Pride*
Ni first timeAiseee nmegundua ulichepuka ila demu huyo ndo unampenda .
Anyway mmedumu kwa muda gani?? Ili kwanza tuone km kuna bond yenye nguvu.
Pili nikosa lilojirudia au ni first time,?? Nahilo kosa ,linampa Aibu machon kwa watu au nilenu wahusika tuu.
*I shall kindly Knee to leave my Pride*
Apo hujaelewa kipi.Habari wana JF, bhana nina mpenzi wangu ambaye nampenda sana na nimepanga ajr kuwa mke wangu ila wiki kama tatu zilizopita nilimkosea nikawa nimemuumiza sana....Lakini nimefahamu kosa langu na nikamwomba msamaha sana.Jibu lake aliniambia amenisamehe na yaliyotokea tuyaache kwa kuwa hatuwezi kuyabadilisha ila kaniambia anaomba nimpe muda afikirie mwenyewe,nisizungumze naye kuhusu mahusiano kwasasa labda mazungumzo ya kawaida tu...Naomba kujua hii inamaanisha nini?,,na je niache kuwasiliana naye kwa muda au vipi maana yeye yupo mbali na mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante AlfredMkuu.. Pole kwanza kwa kumkosea Mpenzi wako na Hongera kwa Kumuomba Msamaha!
Mwanamke ni Kiumbe dhaifu, anahitaji Upendo, Muoneshe Upendo wako wote... ,Mpeleke zile sehemu ulizokuwa ukimpeleka na huwa anazifurahia.. usimsemeshe mambo ya mahusiano.. Mwenyewe atakuambia.. Atakupenda zaidi.. Atataka Mrudiane!
ALFRED
Aahh hapo kuna bond yenye nguvu tena hasa mkiwa mna kitu chapamoja kinachowafikirisha juu future ...yaan mipango ....
Usimtafute kila mara kumuomba msamahaa .
Unampomtafuta kula TIMING yaan cheza na muda ambao unajua hana kazi nayupo katulia .
Ukimtafuta usiongee habar za kosa sijui nakupenda sanaaaa sijui nilipitiwaa...ACHA KABISAAA.
TUMIA NJIA YA MESEJI 99% KUWASILIANA NAYE...nakazia ...TUMIA.MESEJI NASIO CALLS ...kuna nguvu kubwa sana ndani ya meseji...CALLS zinazidisha hasira .
na hizo MESEJI zisiwe mimeseji kumi kwa dakika... Tuma meseji tatu mpaka nne kwa siku yaan asubuh mchana jioni na usiku.
TUMIA LUGHA YA KUCHEKESHA NA YENYE COMPLIMENT NA FLIRT ( Wanawake wanapenda sifa.... Mfanoo .... "Hello (jina lake ) kuna chupi leo nmeipenda nikaamua kukunulia bila shaka nahiko.kiuno chako cha malaika utayapendezesha maungo yako , Usiku mwema ( unaweka kiimoji
)......kimahesab hapa umeua ndege wawili kwa mpigo.
"
.

Asante sana kwa ushauri mzeeAahh hapo kuna bond yenye nguvu tena hasa mkiwa mna kitu chapamoja kinachowafikirisha juu future ...yaan mipango ....
Ila kuna inshu nataka nikueleweshe ili km imewah tokea basi usijisumbue sana.... Kama uliwah mpa mimba na Akatoa, wala hamtakaa kudumu ( utafit unaonyesha asilimia 99% ya kapo walowah kutoana Mimba Huwa hawaoani.) na mtu pekee atakayefanya wasioane huwa ni Mwanamke.
Tuendelee.....
Huyu Demu sio kwamba amepata mtu, isipokua hilo kosa ulomfanyia ndio limemfadhaisha nakama yuko 25+ basi ukiona kakuambia umpe muda basi ujue kaumia nakweli anahitaji muda .
Hapo unachotakiwa nihaya..
Usimtafute kila mara kumuomba msamahaa .
Unampomtafuta kula TIMING yaan cheza na muda ambao unajua hana kazi nayupo katulia .
Ukimtafuta usiongee habar za kosa sijui nakupenda sanaaaa sijui nilipitiwaa...ACHA KABISAAA.
TUMIA NJIA YA MESEJI 99% KUWASILIANA NAYE...nakazia ...TUMIA.MESEJI NASIO CALLS ...kuna nguvu kubwa sana ndani ya meseji...CALLS zinazidisha hasira .
na hizo MESEJI zisiwe mimeseji kumi kwa dakika... Tuma meseji tatu mpaka nne kwa siku yaan asubuh mchana jioni na usiku.
TUMIA LUGHA YA KUCHEKESHA NA YENYE COMPLIMENT NA FLIRT ( Wanawake wanapenda sifa.... Mfanoo .... "Hello (jina lake ) kuna chupi leo nmeipenda nikaamua kukunulia bila shaka nahiko.kiuno chako cha malaika utayapendezesha maungo yako , Usiku mwema ( unaweka kiimoji
)......kimahesab hapa umeua ndege wawili kwa mpigo.
Asubuh ...mfano..... "Hey (Careen) , umeamkaje mrembo , nmeamka nikasikiliza wimbo fulani (unautaja) yaan nikajikuta nakuwaza sana , kwakweli nmegundua uhusiano wetu nimuhimu sana kushinda hata UPUUZI WANGU,, Jion unamuda?? Nataka nikuonyeshe kua nmeacha upuuzi ...asubuh njema"
Mchana ....... Mfanoo....... " Haaaaaa pamoja na ubize wako bana but jitahidi kunywa maji ya kutosha alaaaaaaaafu ,nibakishiege nguvu basi ili siku ukinikumbatia kwa.miguu yako mizuri iyo usichoke mapema.....mchana mwema
Jion .....mfano....... " Hey ( weka nickname yake ) pole najuA pamoja nakuchoka.kwako ila kuanzia chini yakitov kushuka chini hujachoka na naamin hata "Makalio yako mazuri"umeyapamba kwa chupi nzuriii...then nmekununulia chupi zakutosha..hope utazipendaaaa.
Iyo ni mifano ya meseji ambazo unatakiwa uwe ivo kila unavyochat naye ... Yaan unamuishi kama Rafiki wa Faida, automatically atajiingiza ktk 18 zako tena
Sasa basi UNAPASWA KUA MVUMILIVU , AKICHELEWA JIBU TULIAA YAAN TULIAAA. KABISAA... USITUMIE IMOJI KIBAOOOO kwa meseji moja....MPE MUDA WAKUA ANASOMA MESEJI YAKO ANABAKI ANAKUWAZA TUUU.
NB.... USITUME MAMESEJI KIBAO KWA MUDA MFUPI ,UTAMKOSA .
Mwanangu Jaribu izo hints ...its really work ..haina haja ya kumwagia pesa Mpesa... Sisi tusokua napesa ,hizo ndo mbinu zetu maana tunajua hawa viumbe wanapenda nn
*I shall kindly Knee to leave my Pride*
Naunga mkono hoja na jamaa ukikubar tu kumpa mda ohooo nacheza kama Pele, kukusaidia muoneshe thamani yake kwa kujishusha na kumsihi atambue kweli ulichomfanyia umejutia hakika kama ni muelewa atarudi.. ingawa kwenye umbali napo inaweza kua tatizo kutokana na kosa ulilomfanyia eg kumcheat anaweza kukusamehe but a sikuamini tayar ufa sema nini never give up bossMpe muda atafute jamaa mwingine ili akupige kibuti vizuri,
Komaa mpaka kieleweke usimpe huo upenyo
Wakati nabalehe walinipa tabu sana ila sasa huwa nawaangalia tu nafuata yanguhuwa nabaki kushangaa tu mnavyopata tabu na hawa wanawake
Asanteni kwa Ushauri lakini
Ilikuaje mkuu...alikumwagA au ulimmwaga? FungukaaMrejesho: Hatukurudiana kila mmoja ameshika hamsini zake![]()
Ilikuwaje..??.Mrejesho: Hatukurudiana kila mmoja ameshika hamsini zake![]()