Anahitaji muda wa kufikiria

Anahitaji muda wa kufikiria

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,745
Reaction score
8,222
Habari wana JF, bhana nina mpenzi wangu ambaye nampenda sana na nimepanga ajr kuwa mke wangu ila wiki kama tatu zilizopita nilimkosea nikawa nimemuumiza sana....Lakini nimefahamu kosa langu na nikamwomba msamaha sana.Jibu lake aliniambia amenisamehe na yaliyotokea tuyaache kwa kuwa hatuwezi kuyabadilisha ila kaniambia anaomba nimpe muda afikirie mwenyewe,nisizungumze naye kuhusu mahusiano kwasasa labda mazungumzo ya kawaida tu...Naomba kujua hii inamaanisha nini?,,na je niache kuwasiliana naye kwa muda au vipi maana yeye yupo mbali na mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpe muda kama alivyokuomba, if it was meant to be it will.
 
Kama unampenda sana we jishushe tu. Ata akikuona boya ..Ila kama haugusi moyo wako upo nae ilimrad ni mpenzi tuu basi kaa kimya usubili jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Give her space,,, ukiongea naye usimuongeleshe habar za mahusiano.

Sema nn km akiamua kuachana naww harudi ng'ooo unless uko alikokimbilia akute mambo ni kinyume.

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Ndo unaachwa hivyo, akikutana na mtu akamkoroga akili yake ndo basi tena kwisha habari yenu.

Ila on the other hand she might just need some space... Kwani ulimkosea nini?
Asante,,,nimeheshimu na nimempa muda nikiamini baadae atanitafuta...japo inaniumiza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom