Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,653
Nimekuwa na uhusiano wa pembeni wa hapa na pale, kwa ajili ya kupooza injini pale inapopata moto. Mbaya zaidi hawa warembo wangu wamekuwa na tabia ya kunijulia hali hata kama ni usiku wa manane bila kujali muda ule niko na bi mkubwa au la.
Nimejaribu kuwaeleza kila mtu kwa muda wake kuhusu utaratibu wa mawasiliano, lakini baada ya siku mbili tatu tatizo linarudi tena.
Natamani kuwaacha lakini roho inauma. Imenibidi kila ninapokuwa na mwenzangu niblock namba zao ili kunusuru ndoa yangu.
Wakuu tatizo la namna hii huwa mnatatuaje?