Nadhani sio sahihi
Chris Lukosi makosa ya labda mtu mmoja ndani ya chama kusema ni makosa ya chama kizima?Mtu amauliza vizuri asaidiwe hayo ya karanga yanatoka wapi?
Mbona na wewe chama chako hatukiiti chama cha wala
#Rambirambi ?Au tukakiita chama cha wauaji wa tembo?