Anaeweza saidia hili please

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
40,573
2,000
Nina watu wanatamani kujiunga na chama cha Nccr-mageuzi but hawajui ofisi rasmi za chama zilipo au simu za ofisi anaeweza saidia hili please aweke hapa namba au aseme ofisi zao zilipo
 
Chris Lukosi

Verified Member
Aug 23, 2012
4,584
2,000
Mkuu mimi najua ofisi zao ziko mtaa wa lindi Ilala

Hiki ndio chama pekee makini kilichobaki cha upinzani, wengine wauza karanga tu...
 
Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Mkuu mimi najua ofisi zao ziko mtaa wa lindi Ilala

Hiki ndio chama pekee makini kilichobaki cha upinzani, wengine wauza karanga tu...

Nadhani sitakosea nikisema Watanzania wengi hawatakubaliana na huo mtazamo wako. Huo umakini na uuza karanga we umeupima kwa vigezo vipi?

Is more like ninachoona mitaani na kwenye matokeo ya kura kinasema hao "Waliobaki" unaoita wauza karanga ndiyo wanapewa nafasi kubwa zaidi na wananchi kuliko hicho chama makini! Kuna wakati hata nalazimika kuamini kuwa kama siyo CCM kuiba kura, na kutumia polisi, jeshi na Usalama, huenda "hao waliobaki" wangeshachukua nchi. Kwa sababu kama katika uchaguzi ulipoita kura zote za wizi zilizokamatwa zilikuwa za CCM, halafu polisi na wengine nao wakawasaidia kwa kuwatisha wananchi, halafu pamoja na hayo yote, bado hali ni kama hivi, mi naona kama tathmini zako zina kasoro kubwa.

Na I can bet kuwa CCM ikijipeleka yenyewe, bila polisi wala Usalama na jeshi, na isiibe kura hata moja haipati hata kura 10000 kwa nchi nzima! Vinginevyo wana CCM walitakiwa wajione walivyo wa ajabu kwa kuendelea kushabikia chama kinachoiba kura ili kulazimisha kubaki madarakani wakati kuongoza kumewashinda. Labda nifafanulie vigezo vyako ni vipi?
 
sungura1980

JF-Expert Member
May 20, 2013
1,911
1,195
Mkuu mimi najua ofisi zao ziko mtaa wa lindi Ilala

Hiki ndio chama pekee makini kilichobaki cha upinzani, wengine wauza karanga tu...

Nadhani sio sahihi Chris Lukosi makosa ya labda mtu mmoja ndani ya chama kusema ni makosa ya chama kizima?Mtu amauliza vizuri asaidiwe hayo ya karanga yanatoka wapi?

Mbona na wewe chama chako hatukiiti chama cha wala #Rambirambi ?Au tukakiita chama cha wauaji wa tembo?
 
Last edited by a moderator:

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,731
2,000
Nina watu wanatamani kujiunga na chama cha Nccr-mageuzi but hawajui ofisi rasmi za chama zilipo au simu za ofisi anaeweza saidia hili please aweke hapa namba au aseme ofisi zao zilipo
Kwanini usiwashauri wajiunge chama cha rafiki yako zitto? (ACT)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom