Anaeweza kunisaidia mchakato wa uhamisho

Anaeweza kunisaidia mchakato wa uhamisho

analgesic

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
763
Reaction score
1,266
ni kama mwaka nahangaika kumuhamisha wife ambae ni mwalimu wa sec ahamie dar bila mafanikio sasa anaeweza kunisaidia kupata nafasi ani
PM
 
ni kama mwaka nahangaika kumuhamisha wife ambae ni mwalimu wa sec ahamie dar bila mafanikio sasa anaeweza kunisaidia kupata nafasi ani
PM nipo tayari for any cost
vipi? una m 5 hapo ni kuunganishe na jamaa yangu ikulu akufanyie michakato fasta?
 
Mbinu ya kwanza: Mkeo yuko wapi? Njia rahisi ni kuweka mbao za matangazo halmashauri alipo mkeo na anakohamia, yamkini kuna mtu naye ana miaka kadhaa anataka atoke Dar aende kwa mkeo(namaanisha mkoa/wiliya alipo mkeo). Mbinu ya pili: Kusema uongo, kama mama yake yuko hai mwambie andaa nyaraka za hosp za mzazi wake (mama/baba) then aseme mzazi anaumwa anahitaji niwe naye karibu kwa ajili ya matibabu MOI....nk.Tumia akili mkeo kukaa mbali nawe ataibiwa! take care!
 
yaani hii ni changamoto kwani mtoto akiumwa basi upo kwenye basi na ukienda kwenye hizi almashauri unavyozungushwa na kupewa majibu yanayokatisha tamaa eti uombee labda mtu afe ndio upate nafasi au astaafu nimekaa natafakari hii system yetu inaboa ila huu wote ndio urasim hiv kuna kiongozi ambae nae anasubiri mtu afe ili mkewe apate nafasi? ningekuwa nimeajiliwa ningehama sema mm ni mjasiliamali na mtaji wangu nimeuwekeza hapa dar

sema mkeo yupo wap watu wakusaidie mkuu.
 
ni kama mwaka nahangaika kumuhamisha wife ambae ni mwalimu wa sec ahamie dar bila mafanikio sasa anaeweza kunisaidia kupata nafasi ani
PM nipo tayari for any cost

Nitafute kwa namba 0716928197 fanya fasta sio dar tuu popote unapotaka
 
Jamani tujaribuni kuwa seriuos kwa anayeweza kusaidia swala la uhamisho kwani hata mi nimehangaikia wa mke wangu bila mafanikio mwaka na nusu sasa
 
Jamani tujaribuni kuwa seriuos kwa anayeweza kusaidia swala la uhamisho kwani hata mi nimehangaikia wa mke wangu bila mafanikio mwaka na nusu sasa

chukua namba ya mdau Bori Hamisi hapo juu uwasiliane naye uone kama anaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom