Mkuu pole yamekukuta nn?Mfano unapoenda kumwambia mtu kitu kinachomuhusu mumewe unatarajia reaction gani jamani?? Dahhhhhhhhhhh
anataka aone unaachika halaf inakua tofautMfano unapoenda kumwambia mtu kitu kinachomuhusu mumewe unatarajia reaction gani jamani?? Dahhhhhhhhhhh
nyie MUNGU aliwajua mapema ndo maana alituhasa tuishi na nyie kwa akili sana.Jamani naongea haya kwa masikitiko na huzuni kubwa sana hapa. Sina pozi kabisa mwenzenu natafakari bila kupata majibu juu ya sisi wanawake
Kuna sehemu unaeza kuta wanaume wawili watatu wamekaa wao kwa wao wakiongea yao yakiume sijui ya mademu sijui michepuko sijui yule anaringa mara hana lolote nanyinginezo.
Vivohivo kwa wanawake . Wanapokaa wanawake wawili watatu unategemea wataongea story gani kwa mfano???
Hivi unapoambiwa kitu juu ya mtu/ watu fulani ukikaa nacho unawashwa??? Huyooo patupatupatu unapokipeleka moja kwa moja kwa muhusika / ndugu au jamaa yake wa karibu sana unatarajia nini?!!
Hapa kwetu nusura pageuke Uwanja wa kungfu Leo mimi nilijihami nikajifungia zangu ndani tu baada ya kuona hali ya hewa imeharibika make hata kupigana siwezi. Nilishangaa tu paa paa paaa mtu anakula makofi.
Najuuuuuuuuuuuta kwakweli. Kuanzia sasa nikiwa sina ishu nibora nije kukesha jf kuliko kukaa na Ndumila kuwili.
Nimekoma yani kiranga komooo hapa.
Pole sana dear Mungu atakusaidiaNimekoma mbona yani najuta asee
Shogaa sibora hata angetaka niachike mahondaw miyeeee. Shoga kapeleka habari za mume mtu kwa mkewe kabeba kama zilivyoo hata hajachuja walau. nzima nzima kapelekaanataka aone unaachika halaf inakua tofaut
Mm ilishanitokea hiyo mahondaw rafiki mnatoka mnashare vitu vingi kilichonitokea nilijifunza tena hawa marafiki wa kukutana ukubwani ndio hawafai kabisa
Loooh poleShogaa sibora hata angetaka niachike mahondaw miyeeee. Shoga kapeleka habari za mume mtu kwa mkewe kabeba kama zilivyoo hata hajachuja walau. nzima nzima kapeleka
Mi jion hii sina hili wala lile huyoo naona nafatwa...
aisee pole sanaShogaa sibora hata angetaka niachike mahondaw miyeeee. Shoga kapeleka habari za mume mtu kwa mkewe.
Mi jion hii sina hili wala lile huyoo naona nafatwa...
baby wako , wewe komaa na baba umweke saawa ataelewa maana mbinu mnazo nyingi sana.Aiseeee. Hivi unajua sina pozi kabisa hapa!!!!