Napitaaa kimya kimya
Leo hakuna kigodoro jamani nna hamu miee mmeo hajamboo jamanii
my Vin Diesel hajambo....tunategemea ujio wako dinner leo...
mods merge na hii ID .
Ahsante ntakuja mimi tena niandalie kuku mzima wa kwangu tu na savanna 20 usiache
Ooh mama...umesahau Novida 40
Novida unywe wewee mimi leo savanna bana sawaa labda ntakugawiapo si unajua vikibaki tunaondoka navyo
Ngoja nikutafutie mfuko ubebe kwenye pochi
Kuna siku ulishawahi kuleta hoja ya maana?
Huyu kichaa kimempanda
cc Evelyn salt