Anaendeleaje Mh James Mbatia?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,553
Kwa anayejua hali ya afya ya kiongozi wetu huyu James mbatia 'Mama Tanzania' atujuze,Mara ya mwisho nilisikia akiwa nchini India ki matibabu.
 
Namtakia heri ya siku kuu pia namtakia uponyaji wa haraka.
 
Nasikia amesharudi na hivi majuzi niliona waziri wa mambo ya ndani katupia picha mtandaoni akimjulia hali.
 
Yeye kisharudi,@chaajabu bado yuko kitandani,hata mtu akimtembelea anapiga picha akiwa amelala,
that means bado hali yake sio nzuri hata kidogo,

kama tatizo ni mguu tu ,then labda umeungwa haujategemaa ama tatizo limeshindikana kisayansi
 
James mbatia ni mmoja wa wanasiasa shupavu sana, hakika Mungu amtie nguvu arudi kwenye uwanja Wa siasa! 2020 sio mbali. Mungu atupe uzima
 
Ugua pole mbunge wangu japo barabara ya Himo sokoni imerudia hali ya zamani kwa kuwa haikuwekwa mitaro ya maji kipindi ilivyochongwa
 
Back
Top Bottom