I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,556 Dec 27, 2016 #1 Kwa anayejua hali ya afya ya kiongozi wetu huyu James mbatia 'Mama Tanzania' atujuze,Mara ya mwisho nilisikia akiwa nchini India ki matibabu.
Kwa anayejua hali ya afya ya kiongozi wetu huyu James mbatia 'Mama Tanzania' atujuze,Mara ya mwisho nilisikia akiwa nchini India ki matibabu.
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,362 Dec 27, 2016 #2 Namtakia heri ya siku kuu pia namtakia uponyaji wa haraka.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,026 Dec 27, 2016 #3 Nasikia amesharudi na hivi majuzi niliona waziri wa mambo ya ndani katupia picha mtandaoni akimjulia hali.
Nasikia amesharudi na hivi majuzi niliona waziri wa mambo ya ndani katupia picha mtandaoni akimjulia hali.
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,343 Reaction score 33,487 Dec 27, 2016 #4 Yeye kisharudi,@chaajabu bado yuko kitandani,hata mtu akimtembelea anapiga picha akiwa amelala, that means bado hali yake sio nzuri hata kidogo, kama tatizo ni mguu tu ,then labda umeungwa haujategemaa ama tatizo limeshindikana kisayansi
Yeye kisharudi,@chaajabu bado yuko kitandani,hata mtu akimtembelea anapiga picha akiwa amelala, that means bado hali yake sio nzuri hata kidogo, kama tatizo ni mguu tu ,then labda umeungwa haujategemaa ama tatizo limeshindikana kisayansi
kandere JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 313 Reaction score 213 Dec 27, 2016 #5 James mbatia ni mmoja wa wanasiasa shupavu sana, hakika Mungu amtie nguvu arudi kwenye uwanja Wa siasa! 2020 sio mbali. Mungu atupe uzima
James mbatia ni mmoja wa wanasiasa shupavu sana, hakika Mungu amtie nguvu arudi kwenye uwanja Wa siasa! 2020 sio mbali. Mungu atupe uzima
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,151 Reaction score 18,751 Dec 27, 2016 #6 Ukawa wanakujali ukiwa mzima tu.
N Ngomeni22 Member Joined Jun 16, 2016 Posts 24 Reaction score 6 Dec 27, 2016 #7 MUNGU amsaidie apone
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Dec 27, 2016 #8 Ugua pole mbunge wangu japo barabara ya Himo sokoni imerudia hali ya zamani kwa kuwa haikuwekwa mitaro ya maji kipindi ilivyochongwa
Ugua pole mbunge wangu japo barabara ya Himo sokoni imerudia hali ya zamani kwa kuwa haikuwekwa mitaro ya maji kipindi ilivyochongwa