kawa kibonge hadi nilimsahau
Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete
Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Tanzania
Chezea tezi dume wewe inanenepesha
ahsante..........mekumisi
Jf chungu
hahaha pole tuwiki tuwili tu vumilia bwana
Me somo la kuvumilia nilipata F, nibadilishie tu...hapa ndo mwisho wangu dear....
hahaha hata upate ziro ukichepuka nakufoo saro lol
Hahaha ushawahi kuona kifungo cha nje?? Usiombe.....
haha vumilia bwana au nikuombee ban kwa mods wote tusiwepo lol
Bora tu aisee....ila ntajaribu kuvumilia nikishindwa nakwambia...
Aaaaaah siwezi kushindwa miss wangu natania tu.... Bado 14days tu....
yeah siku chache.........