Hawa jamaa wako vizuri, wakiku- interview ukapita kwao ni nadra sana kukataliwa huko uendako, waajiri wengi wanawaamini sana hawa RADAR. Kapige interview Mkuu.
Kwa sasa nadhani wako Mikocheni unapitia njia ya ITV kisha pale TRA unakata kulia au ile ya Rose garden kisha kule mbele unakata kushoto