Anaehitaji Nissan Xtail

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,842
Heshima wakuu..Heri ya mwaka mpya.. anayehitaje Nissan Xtrail tuwasiliane ni mpya ya 2004 reg.ni CLM Details zingine;

colour; silver
cc; 1990
fuel; petrol
Automatic transmission
imetembea 151,000/= km
Imported in june 2013 from Japan

check me in 0754 814 910 au ni-pm
 
Ndugu muuzaji wa gari, asante kwa taarifa. Ushauri wa bure, tunaomba utuwekee picha tuoanishe maelezo na taswira.
 
biashara ya kuuza na kununu kitu muhimu ni bei
 
CLM mama mdogo usipate shida
Bei ndio tunasubiriatutajie.
naona kitu kimetulia
Asante kwa kutuwekea picha, ila itapendeza zaidi ukiweka bei tarajiwa. Na hiyo namba plate, ante yake ni CLM au CCM? Naomba ufafanuzi tafadhali maana leo miwani sijavaa.
 

Gari mpya na imetembea 150K km??
 
ok ngoja nianze mnada
Mkuu kwa heshima na taadhima chukua milioni nane 8m
 
Gari mpya na imetembea 150K km??
Mkuu ulishawahi nunua gari Japan? Kilometa isingekuogopesha...hii ilikuja ina 146,500km hivi...ukiangalia kilometa utakuja ingizwa mkenge watu wanacheza na odometer tu
 
ok ngoja nianze mnada
Mkuu kwa heshima na taadhima chukua milioni nane 8m
Hahahaaa...mkuu hiyo labda nikupe rav 4 ya 1996 nayo ipo sokoni...reg.no APZ
 
Hiyo umeoa ndoa ya kikristo ndugu yangu, ni wa kufa na kuzikana! Labda ukauze Sumbawanga..
Why? Nyie ndo mnakurupuka hamjui hata magari..... xtrail ndo habari ya mjini sahivi...affordable, iko luxury na haili mafuta...sasa wewe unajua nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…