Anaehitaji karanga mbichi.

Hivi kwa akili yako na ufahamu ulionao unadhani kuwa umeeleweka vizuri kwenye hili tangazo lako ndugu...?

zipo nyekundu na nyeupe, nyekundu ni 2,700 kwa kilo na nyeupe ni 2,500 kwa kilo

ni 1,700 mkuu, typing error ni per kg. nyeupe ni 1,500@kg na nyekundu ni 1,700@kg

Nina sambaza karanga mbichi kwa bei poa, karanga zinatokea mkoa mpya wa songwe wilaya ya mbozi, kubwa kubwa nyeumbe na nyekundu, bei yetu ni shilingi 2,500 nyeupe na 27,00 nyekundu, karibuni sana, tunapokea order kutoka sehemu mbalimbali, ofisi tunapatikana mbezi lui barabara ya kwenda msigani/kwembe, unaweza kutupata kwa namba za simu ;- 0653809008/0718949497 whatsap,
 
Hivi kwa akili yako na ufahamu ulionao unadhani kuwa umeeleweka vizuri kwenye hili tangazo lako ndugu...?
yes kuna errors zimefanyika mkuu, ila kuna walioelewa pia coz wamenipigia wanahitaji,pole kwa usumbufu.
 
mzigo naukusanyia songwe (mbozi) kila wiki gari inakuja na mzigo.
Sawa ntakutafuta kweny namba yako,.. Ila kwa mzigo nao uhitaji ni zile ambazo hazijambenguliwa maganda, naomba zingatia hili,.. Ahsante ntakutafuta, muda si kitambo,
 
Sawa ntakutafuta kweny namba yako,.. Ila kwa mzigo nao uhitaji ni zile ambazo hazijambenguliwa maganda, naomba zingatia hili,.. Ahsante ntakutafuta, muda si kitambo,
Unahitaji zile zenye maganda ya kuvunia, kutoka shambani au maganda haya ya kawaida ndo wayazungumzia?! Yaani yale yanayoonesha rangi ya karanga?!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom