Anaehitaji karanga mbichi.

Anaehitaji karanga mbichi.

Unahitaji zile zenye maganda ya kuvunia, kutoka shambani au maganda haya ya kawaida ndo wayazungumzia?! Yaani yale yanayoonesha rangi ya karanga?!!
Zenye maganda kutoka shambani na ziwe nzuri, sio zenye vitu vilivyooza ndani, au wadudu

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Zenye maganda kutoka shambani na ziwe nzuri, sio zenye vitu vilivyooza ndani, au wadudu

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
No.1
d7b0e5754d0065b42730f264e6cad323.jpg

No.2
7b3578c878c0044bcaadebc69f2e4211.jpg

Kati ya hizi hapa ni ipi?No. 1 au No.2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom