Anadai tukapime ngoma

Anadai tukapime ngoma

Miaka mi 5

Screenshot_20191010-103037.jpeg
 
Habari wadauu

Leo sio mada ila ni jambo shirikishii. Baada kumla mke mmoja ambaye ni wa mtu zaidi ya mara 3.

Hatimaye leo amenikazia anadaii tuka pime ngoma.

Yanii hapa nilipoo anatuma msg kama hana akili. Na kila nikikumbuka,joto la kusubiria,majibu ya UKIMWI nahisi siwezi himili.

Nikimalia kuandika hapa nazima na simu bora mahusiano yaishee mimi na yeye abaki na mme wake.

UPDATE.

Tumeenda hospital ya kwanza nimekuta imefungiwa haifanyi kazii tena nikapumuaaa.

Ameropoka twende nyingine nikasema sio kesii hapo moyoo unadundaa balaaa. Njia mzima sina raha, tukafikaa nyingine, bwana weeeee alieko reception nina mfahamu na ni mtu wa mazingira ya nyumbani.

Nikamwambia manzi kuwa siwezi pima huyu mama ananifahamú vizurii. Maana najua lazima angejiuliza maswali kuwa huyu si mke wa mtu.

Basi akasema tutaenda keshoo sehemu nyingine.

UPDATE

Leo kanikazia kwelii yanii hadi anaanza lawama.
mkienda mkakipata mnachokitafuta hamtarudia tena kupima kamwe
 
Back
Top Bottom