Anadai ninamuumiza wakati wa Tendo

Anadai ninamuumiza wakati wa Tendo

Usituumizie mdogo wetu Kapige msasa mashine yako itakua na manundu manundu
 
Mkuu watoto wa mjini hao inawezekana anakuletea sinema tu umuone bado mbichi.

Ila kwa ushauri wa kina usikurupuke kama kuku kutaka kupanda tu....fanya nae romance nusu saa nzima tena tega mpaka alarm alafu baada ya hapo mpande uangalie matokeo yatakuaje
 
Mtoto mdogo hilii jina nimelipenda. Humuandai vizuri,kuweni na muda sio kukurupukiana tu elewaneni wapi anaamsha na wap hapaamshi. (Siku hizi kungwi ni GOOGLE utapata mengi)

Watoto wadogo hawajuhi hata maana ya kuandaana, waache uzinzi tu ndio salama yao
 
Duh!Wanaadamu hamstuki? Mmo tu kukoleza uzinzi! Mungu anatuona na kila mmoja atalipwa kwa kadri alivyofanikisha.

Kiukweli hakuna tendo baya kama kuzini na kuasherati. Ni tendo linaloleta mikosi na mabalaa kwenye maisha ya vijana wengi.
 
Back
Top Bottom