Anadai nambanjua mkewe mtalajiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anadai nambanjua mkewe mtalajiwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dunda kwetu, Nov 6, 2011.

 1. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mashtaka yakafika kwa mjumbe.bila ajizi mjumbe akaniita.Mj jamaa hapa anadai unasugua kisigino kwa waifu wake mtarajiwa

  aaah nikawambia kiitwe iko chanzo cha tatizo jamaa akanyanyua simu na kumuita waifu wake mtarajiwa alipokuja wee acha tuu

  kavaa kipini cha nguvu,mpka mjumbe akadai hapa kesi hamna labda mkashitakiane kwengine

  Nikamuliza mjumbe mbona unajivua mashtaka kulikoni?

  Mjumbe akanikalikia kulikoni nini na wewe namna hii hata ''''''kashindwa kumalizia nikabaki njia panda

  Wacha nitafute chumba sehemu nyengine

  (Mabinti wa mtaa huu sio wa kweli!)


   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  What is this?
   
 3. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  sharobaro
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  He inamaana mjumbe anamjua yule demu ni kisinia eee?
   
 5. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  khe! hii ni hadithi au ni kitendawili!!
   
 6. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mh! hii mbona imekaa kishakunaku zaidi?
   
 7. Fang

  Fang Content Manager Staff Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 489
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Man up dude.
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  Mwambie kuwa kwasasa humbanjui ila unasubiri afunge ndoa ndio uanze rasmi kum' banjua
   
 9. v

  valid statement JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  dah... Aisee, nawatakia eid njema.
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hi ni methali au nahau?
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  jf is never boring....
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  jf never stop amazing me...
   
 13. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #13
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mh haya ...
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Inamaana mjumbe anafahamu historia ya huyo mke mtarajiwa zaidi ya mwenye mke mtarajiwa anavyojuaee!
   
 15. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #15
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kama mjumbe ameona hamna kesi basi fanya mpinduzi baridi<bila kumwaga damu>.
   
 16. siemens c25

  siemens c25 Senior Member

  #16
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Watu wakishiba pilau bana wanatuoia chochote me sijaelewa kitu
   
 17. frank lujaju

  frank lujaju Member

  #17
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmmmmmmh jamaa lazima ashtuke kama kweli umnyemelea mke wake mtarajiwa tena jamaa anaonekana mtu poa sana coz wengine huwa hawana hata muda wa kwenda kwa mjumbe wanchukua tu sheria mikononi mwao matokeo yake unackia kifo,so ni bora ukaamia kwingine ili yasije yakakukuta mkubwa zaidi ya hayo,mke anauma kaka
   
 18. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Sijakupata mkuu, Unaweza kutufafanulia zaidi?
   
 19. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mjumbe anamjua lilivyo
   
 20. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #20
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utakavyoona
   
Loading...