Anadai hakunipenda.

Anadai hakunipenda.

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,661
Reaction score
12,014
Habari zenu wakuu

Nimekuwa na huyu binti kwa miezi 5 sasa,
leo anadai hakunipenda ila alikuwa na mimi kwa sababu tu.

Hii ni haki kweli? inaniuma sana.
 
Shukuru Mungu kakupa ukweli mapema mpende akupendaye asiyekupenda tupa Kyle wasichana wako wengi na wanahitaji kupendwa
 
broo kwanza huyo mzuri aliyekueleza ukweli wake kuliko angekupotezea muda tafta atakayekupenda wala usilazimishe maji kupanda mlima
 
Shukuru kakwambia ukweli mapema,kubaliana na ukweli pia usijali wala usihuzunike sana..utapata ataekupenda kwa dhati huyo hakuwa chaguo lako.
 
Back
Top Bottom