Jamaa Hana Tatzo, N Kawaida Kwenda Na Kurud Ktk Mapenz,
Dear friends nimelea mdogo wangu wakike mpaka kaolewa sasa umri 28.akiwa na miaka 21 alibeba mimba ya mvulana ambae alipomwambia alijibu hana lakufanya nahiyo mimba wote walikua wanatakiwakujiunga na chuo kikuu.alijaribu kujiua tukamuokoa nilipomhoji akaniambia anaona aibu anamimba.nilimwambie usijiue ntalea mtoto wako .baada ya miez kama minne aliumwa mimba ikatoka.nilimsomesha chuo akapata kazi sasa kaolewa na mtu mzuri tu na heshima zake.Juzi yule bwana wakwanza karudi anamwambia ameshapata hela anamtaka warudiane,tunamwambia kaolewa haelewi hasikii mimi sijui chakifanya nishaurini jaman
ni yeye tu anavunga........
duh hili nalo linahitaji ushauri
Nimebanwa mkojo, naomba ushauri nikakojoe au nifanye nini??
Hahahaaaa sikuiz mmu mtu akibanwa hata kidole anakujaa kuanzisha uzi
Kesho na sisi tuanzishe uzi wetu. Unasemaje??
Hichi kisa ni wewe, usichanganye watu. Pili, chukuwa akili zako na za kuambiawa . Kuna vichaa aina 40, cha huyo jamaa kitakuwa namba 21
Nimebanwa mkojo, naomba ushauri nikakojoe au nifanye nini??
Nimebanwa mkojo, naomba ushauri nikakojoe au nifanye nini??
Subiri nakuja unikojolee Lols
usikojoe.....mana ukikojoa tu utapunguza maji mwilini......