Anadai ana mimba yangu lakini haeleweki

Anadai ana mimba yangu lakini haeleweki

Anang'angania ni yangu but kvp ndio hataki kuhojiwa
Subiri ajifungue.

Pima DNA

Kuwa na uhakika

Shida iko wapi? Kwa sasa hudumia hiyo mimba. Ikiwa ni mwanao poa utakuwa umetimiza majukumu yako. Ikiwa siyo yako hesabu kuwa umetoa sadaka. You win either way. Be a man!
 
Usijali subiri mtoto akifika miaka 30 ana kazi yake hakupi matunzo umlaani. Yaani kosa la kumkana wala lisikutishe. We tulia mama ake amtafie Baba. Akishapata kazi mbeleni huko mtafute mwambie we ndo baba ake akikataa muachie laana
Mkuu umeongea kwa msisitizo kweli, arooo
 
Tunaonana kwa nadra sana yani once pa month, hataki niguse simu yake, hataki nijue anapoishi, hataki nimhoji anapanic.

Nafsi inanisuta sana kwakuwa sipendi kuikana damu yangu but kwa the way anavyonifanyia nimeikataa tu potelea mbali.

Awali nilikuwa na access ya kuishika simu yake naye kushika yangu wakati wowote but sikuhizi imekuwa tofauti

Nikatamani kujua iliingia lini na kumhoji hivyo[emoji116] but ikawa shida.
View attachment 2481011
Huyo ana mimba yenu si yako peke yako na mko kama saba mnaoambiwa hivyo.
 
Back
Top Bottom