Anaconda

Anaconda

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,730
anaconda.jpg
 
Ha ha haaa ajiandae kummeza Gadner anayetaka wagawane mali.....
 
huyu mtoto nampendaga sana jamani mwenye namba yake maana nasikia gadner ameshatema mzigo.
 
hiyo editing,jide sura yake imekomaa sana nashangaa hapo wamemuekea baby face
 
Nasikia gadner yalimshinda,Mzigo kama huu unakula chipsi mayai lazima ukimbiwe
 
Ningekuwa nae Huyu ningemla denda kila siku-Jide mzuri acha utani
Gadnar apite Kule na umariyoo wake
 
Jamaa kakomaa anataka wagawane walichovuna wote,kimsingi jide alimuoa Gardner
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom