Anachongumza HABIL kuelekea Desemba

Anachongumza HABIL kuelekea Desemba

toriyama

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
1,546
Reaction score
3,196
• BOT haijatoa taarifa Rasmi kama mifumo yake imeingiliwa
(Ikiwa watakataa kubali atatoa fundisho)
• Amefanya mazungumzo na kiongozi wa DP world , chairman wao na CEO WAO
• Amemuambia chairman wa DP world kuwa miamala yake ipo wazi
(Kampigia simu Leo na kuongea nae kwa simu)

• mifumo ya kifedha ( Gepg, tips , tiss ipo wazi)

• Kuna uwezekano desemba mishahara zisifanyike watazuia mifumo ya kifedha..

• mifumo ya fedha haipo Salama tena anatahadharisha desemba itakuwa mwezi mgumu sana miamala ya kifedha
Lengo ni ku paralysis government
Wengine waende Ofisi za UN
UPDATE: NOV 25
-Leo anataja mambo muhimu kuonesha mifumo ya BOT imeingiliwa atataja na majina ya watu muhimu

- Mifumo ya kibenk haipo sawa Kuna watu wameingiziwa pesa zaidi ya million 20 na wengine wamekamatwa na kufungiwa akaunt zao wanafunzi wa chuo.. mifumo zimechezewa ndio maana wameshindwa kurudisha kwa wakati

Kufatilia live hiyo ingia TikTok washa VPN andika neno summerclif00 ufatilie LIVE yake au ingia instagram andika NURUVAZI yupo live
 
• BOT haijatoa taarifa Rasmi kama mifumo yake imeingiliwa
• Amefanya mazungumzo na kiongozi wa DP world , chairman wao na CEO WAO
• Amemuambia chairman wa DP world kuwa miamala yake ipo wazi
(Kampigia simu Leo na kuongea nae kwa simu)

• mifumo ya kifedha ( Gepg, tips , tiss ipo wazi)

• Kuna uwezekano desemba mishahara zisifanyike watazuia mifumo ya kifedha..

Lengo ni ku paralysis government

Kufatilia live hiyo ingia TikTok washa VPN andika neno summerclif00 ufatilie LIVE yake
Leo hamna floats
Milioni moja na nusu ukienda na cash tu wanaanza kuangaliana
 
Kama mifumo ya taasisi nyeti zote za nchi zimeingiliwa, basi hatupo salama hata kwa nchi shindani zetu. Dunia sasa hivi sehemu ya vita imekuwa sana kupitia ( cyber war ). Kama nchi itabidi kuangalia hili kwa umakini wa hali ya juu, maana ni rahisi sana kuua uchumi kupitia Cyber war
 
Habil sio Mtanzania au ni mtu anayefatilia Jamiiforums na Internet sana, Ametoa very startegic Idea.

Watu wakutane UN, that is very strategic

Pia ni Masaki, so technically kaka yake Polepole alisema tukutane Masaki, this is interesting
 
Back
Top Bottom