Watu wamechanganyikiwa na Lissu sasa wewe umeandika nini?Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.
Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.
Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.
Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.
Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Absolutely wewe ni Muasi
Anae tumia risasi kurusha kwenye mwili mtu yani risasi 38 na kuweka zaidi ya hela 1.5T mfukoni unampa jina ngani?Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.
Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.
Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.
Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.
Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Absolutely wewe ni Muasi
Tupe tafsiri ya neno 'uhaini'Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.
Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.
Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.
Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.
Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Absolutely wewe ni Muasi
Uhaini (kutoka neno la Kiarabu) ni pale mtu anapotenda jambo dhidi ya nchi yake. Kwa mfano, mtu anaweza kuisaidia nchi nyingine ipigane vita dhidi ya nchi yake kwa kutoa habari za siri.Tupe tafsiri ya neno 'uhaini'
Uhaini (kutoka neno la Kiarabu) ni pale mtu anapotenda jambo dhidi ya nchi yake. Kwa mfano, mtu anaweza kuisaidia nchi nyingine ipigane vita dhidi ya nchi yake kwa kutoa habari za siri.
Uhaini ni neno la kawaida, lakini nchi tofauti zina sheria na adhabu tofauti dhidi ya matendo ya kihaini, hata adhabu ya kifo.
Miongoni mwa wahaini maarufu duniani kuna Yuda Iskarioti, Benedict Arnold, Philippe Pétain na Vidkun Quisling.
Kwa Hisani ya Wikipedia.
Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.
Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.
Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.
Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.
Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Absolutely wewe ni Muasi
Hiyo ni moja ya tafsiri au Maana ya neno UHAINI. Kuna maana nyingi sijaziainisha hapo juu....ikiwepo kumtukana na kumvunjia heshima kiongozi wa Nchi. Kulivunjia heshima Bunge na Mahakama.Ni Habari gani za Siri alizo zitoa huyo Mh Lissu ?
waulize wakandarasi waliozuia ndege nani alikuwa anasaidia kutrace asset. Hayo ndiyo makavuNi Habari gani za Siri alizo zitoa huyo Mh Lissu ?
nyuma ya "mhaini" Lissu tupo "wahaini" wengine zaidi ya 17M.Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.
Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.
Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.
Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.
Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Absolutely wewe ni Muasi
Uvccm wakiweza kujibu hili ni tag mkuu.Ni Habari gani za Siri alizo zitoa huyo Mh Lissu ?
Huyo unaetaka kujipima kwake sio saizi yako....saizi yako ww ni bajaj na m-push.Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.
Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.
Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.
Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.
Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Absolutely wewe ni Muasi
Rais sio mungu akikosea anakosolewa,kama haambiliki majority watamtoa na mwanzilishi au atakayewaonyesha watu kuwa huyu Rais huwa ni mmojaJamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.
Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.
Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.
Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.
Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Absolutely wewe ni Muasi
Wakati mwingine ijulikane kuwa kutetea uozo na uhujumu uchumi ni moja ya aina ya uhaini ifike mahali tuwe wajasiri tufanye mambo yetu kwa kujiamini acha lisu abwabwaje huko aliko taifa linasonga mbele. Mnaomuunga mkono hamna jipya!Rais sio mungu akikosea anakosolewa,kama haambiliki majority watamtoa na mwanzilishi au atakayewaonyesha watu kuwa huyu Rais huwa ni mmoja
Hivi unakumbuka Arab revolution ilivyoanza Tunisia ,basi tuliza mshona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni moja ya tafsiri au Maana ya neno UHAINI. Kuna maana nyingi sijaziainisha hapo juu....ikiwepo kumtukana na kumvunjia heshima kiongozi wa Nchi. Kulivunjia heshima Bunge na Mahakama.
Uhaini (kutoka neno la Kiarabu) ni pale mtu anapotenda jambo dhidi ya nchi yake. Kwa mfano, mtu anaweza kuisaidia nchi nyingine ipigane vita dhidi ya nchi yake kwa kutoa habari za siri.
Uhaini ni neno la kawaida, lakini nchi tofauti zina sheria na adhabu tofauti dhidi ya matendo ya kihaini, hata adhabu ya kifo.
Miongoni mwa wahaini maarufu duniani kuna Yuda Iskarioti, Benedict Arnold, Philippe Pétain na Vidkun Quisling.
wabongo bwana shida kweli kweli ,walioapa kuilinda katiba hawailindi ila wale wafia tumbo waliopewa tu vyeo ndo wanatusumbua katiba katiba,je katiba hiyo haitambui kuwa nchi hii niya kidemocrosia inayofuata mfumo wa vyama vya siasa?sasa hiki kinachoitwa usaliti wa Lissu kinatoka wapi?je katiba inasemaje kuhusu jukumu la serikali kwa raia wake na imefanya nini kwenye swala la lissu? Hivi mkishapewa hivyo vyeo basi mnakuwa mmekuwa pia juu ya kifo? Yaani kuna uwezo fulani natamani kuwa nao kama Mungu angenipa huo uwezo hata saa moja kuna watu mngepata tabu sanaJamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.