Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,142
- 166,063
Juzi ndio ukafanyaje sasaAnaongea sana hisia zake, anapenda sana atongozwe, anapenda watu wa m pm yaani nahisi kama ni muoga sana wa upweke, hataki midume iche mbali na uwepo wake, huku ndiye nazjaz bwana.nakufagilia sista naz jaz
Anaongea sana hisia zake, anapenda sana atongozwe, anapenda watu wa m pm yaani nahisi kama ni muoga sana wa upweke, hataki midume iche mbali na uwepo wake, huku ndiye nazjaz bwana.nakufagilia sista naz jaz
Nazjaz unalo hilo

Dena Amsi, wewe mchokozi unajua kwenye tenzi mashairi na hata riwaya watu huwa wanaongea kimafumbo zaidi ila wewe umeamua kupasua jibu. Anyway nitarudi ngoja niPM Nazjaz maana nilikuwa sijawahi kuPM kwani mie nina kasoro gani jamani????
isije kuwa Naz Jaz,
ni mmojawapo kati ya wale maliberal (kama kaizer anavowaita)!!!!!!
kimbe kuna ka thread kananihusu huku , sikujua
....una bahati sana.Nikajua unamsema HUSNINYO,ningekuomba ukanushe usemi wa hayo mandishi yako hapahapa.inaonekana umefanya uchunguzi wa kina.hongera sana kwani umenisaidia kupata style mpya ya kuwapata hawa viumbe wa Mungu....