Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,126
- 9,661
◽️Jean Charles Ahoua
Aliuanza mchezo akiwa chini sana , licha ya kuwa ndiye mfungaji wa bao pekee hii leo sitashangaa kuona watu wakimsema ,alikuwa anakosa uharaka wa maamuzi na kujikuta unachelewesha movements
Tutakumbuka aliumia na kuomba kutoka , lakini bado atazibeba lawama kwa mpira alioshindwa kuumalizia dakika ya mwisho ya mchezo , pale unataka ufanye nini tena upo wewe na lango na mechi ni Nusu Fainali 🤔
◽️Joshua Mutale
Hadi sasa sishangai kwanini huwa hapati nafasi ya kuanza , leo Mwalimu Fadlu amechukua maamuzi magumu kwenye mechi muhimu kumpa dakika lakini bado ameshindwa kuonesha
Ukiacha shuti moja ambalo lilizaa kona ,Mutale hakuwa na hatari kabisa akiwa na mpira na hata akiwa hana mpira Simba ilikuwa kama ipo pungufu uwanjani.
◽️Leonel Ateba
Leo kwa mara ya kwanza naandika kuwa Ateba ni mshambuliaji wa kawaida sana, nimejiridhisha kwa kumtazama kwenye mechi za Ligi na hata Kimataifa.
Ameyakosea sana macho ya wanasimba waliotenga muda kuangalia Nusu Fainali waliyoisubiri kwa miaka mingi , tukio pekee jema kwake ni shuti moja ambalo liliishia kupanguliwa na golikipa , Mshambuliaji kweli pale hakuachi.
DIGALA was here