Anaandika mtoto wa mwisho wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mamie Akh

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
"I am my fathers daughter, I may not look like him but if u look at me closely u will see I am exactly what he intended me to be. I raise my voice n speak my mind, I call a spade ♠ a spade ♠ n I am bold enough to face my fears head on!.... Tatizo la kukatiwa umeme kwa kutolipa deni ni la serikali n sio la wananchi kwasababu wananchi wanalipa huduma hio on a prepaid system. Kama Deni ni la miaka 20 nyuma ilikuwa litafutiwe ufumbuzi wakulilipa au utafutwe ufumbuzi wa umeme mbadala n sio kutwambia turudi kwenye vibatari. Zile pesa wanaolipa wananchi zinaenda wapi?? Kama mlikuwa ndo mnaendeshea nchi then it clearly shows hii nchi imekushindeni n wala hamna uchungu nayo nahisi it will be a wise solution to take the reins to its rightful leader.... those reins clearly do not belong to you at all. A good leader always leads by examples n always finds permanent solutions to his problems, n is not afraid to face his fears head on. He doesn't dodge or play the blaming game or even shift them blame he take ownership of his problems n stays true to his principles n beliefs.... Haya mtoto wa mwisho wa karume ndo nshasema .... if the hat fits then wear it.... jiwe limerushwa hiloooo likikupata utajijuuuuu."
 
"I am my fathers daughter, I may not look like him but if u look at me closely u will see I am exactly what he intended me to be. I raise my voice n speak my mind, I call a spade a spade n I am bold enough to face my fears head on!.... Tatizo la kukatiwa umeme kwa kutolipa deni ni la serikali n sio la wananchi kwasababu wananchi wanalipa huduma hio on a prepaid system. Kama Deni ni la miaka 20 nyuma ilikuwa litafutiwe ufumbuzi wakulilipa au utafutwe ufumbuzi wa umeme mbadala n sio kutwambia turudi kwenye vibatari. Zile pesa wanaolipa wananchi zinaenda wapi?? Kama mlikuwa ndo mnaendeshea nchi then it clearly shows hii nchi imekushindeni n wala hamna uchungu nayo nahisi it will be a wise solution to take the reins to its rightful leader.... those reins clearly do not belong to you at all. A good leader always leads by examples n always finds permanent solutions to his problems, n is not afraid to face his fears head on. He doesn't dodge or play the blaming game or even shift them blame he take ownership of his problems n stays true to his principles n beliefs.... Haya mtoto wa mwisho wa karume ndo nshasema .... if the hat fits then wear it.... jiwe limerushwa hiloooo likikupata utajijuuuuu."
LIPA BILI
 
Alichokizungumza ndiyo ukweli wenyewe!Deni ni la serikali,si la wananchi,kuwakatia umeme wananchi wanaolipa bill zao kila mwezi ni uwendawazimu na kutowatendea haki wazanzibar.

Tanesco/serikali inapaswa kudili na mamlaka zinazohusika na Umeme Zanzibar,ikiwezekana wakamate mali zao na si kuwakatia Umeme wananchi wa Zanzibar.Kama mwananchi wa kawaida wa Zanzibar analipia umeme kadili anavyoutumia,suala la deni si lake,wabanane wenyewe huko serikalini lakini si kumuhusisha Mzanzibari katika kadhia isiyomuhusi.


Shein anapaswa awaambie Ukweli Wazanzibar,kusema kuwa wapo tayari kuwasha vibatari ni kuwasemea watu ambao hawakuwahi kuambiwa/kujuwa kama serikali yao inadaiwa wakati Wazanzibar wanalipa bill kila mwezi.Serikali ya Zanzibar iseme ukweli,ilikuwa inazipeleka wapi fedha za makusanyo/malipo ya bill za umeme toka kwa wananchi kila mwezi?Au ndizo ilizokuwa inazitumia kuvilipa vikundi vya kihalifu vinavyohatalisha amani ya Zanzibar kila siku?

Hilo ni deni la serikali na si deni la Wazanzibar.
 
Hawa 'hapa pangu' wameimaliza zanzibar,sasa wanawavuruga watu
Aeleze baba take alilipa kiasi gani?
Mie nadhani ni wakati muafaka wa SMZ kutwaa Ardhi yote ambayo Amani alijimilikisha kinyume cha sheria
 
Back
Top Bottom