Ana wivu sana.

Ananipenda sana,ila anawivu mno mpaka ananiudhi..Dawa yake ni nini wana mmu?.nataka anipende kiasi..

ýaani ww kuonewa wiv ndo unaona kero!dah mwenzio naitafuta nafac km hyo.

USHAURI:mtafute acyekupnda cdhan km atakuonea wiv.
 
Back
Top Bottom