"Kama ana akili ya kumaliza na gpa kubwa na kusoma cpa"Kibongo bongo kwa ajira za serikalini nursing ni nzuri akisoma Diploma.
Ila kwa ajira za degree accounting ni nzuri zaidi kama ana akili ya kumaliza na gpa kubwa. Na kupata CPA
"Kama ana akili ya kumaliza na gpa kubwa na kusoma cpa"Kibongo bongo kwa ajira za serikalini nursing ni nzuri akisoma Diploma.
Ila kwa ajira za degree accounting ni nzuri zaidi kama ana akili ya kumaliza na gpa kubwa. Na kupata CPA
Ndugu yangu kapata ufaulu huo hapo juu.
Amepata accountancy IFM Ila lengo lake asome Bachelor of Nursing.
Je, kwa hapa Bongo atapata chuo gani? Ushauri please?
Bila shaka hio kozi ni ya SUA......Jaman kuna mdogo wang kachaguliwa kozi ya acquaculture ss ananiuliza vp iyo kozi itamfaa au mana analia tu haelew n mtt wa kike
Hahahaha ni nzuri? Kwa mlengo upi? Ajira zake anaweza kuomba maeneo gani,akitaka akijiajiri kuna uwezekano huo kwa mtaji wa wastani? Hivyo ndo anachotaka kusikia ukisema nzuri tuu sio sawaBila shaka hio kozi ni ya SUA......
Swali langu hio kozi mpaka amechaguliwa si ilikuwa priority yake???
Ni nzuri asee ila kama Ni SUA nasisitiza hakuna mchezo mchezo huku chuo ni cha moto...pia kama hana option nyingne pakwenda mnitafte KWA maelezo zaidi
Soma vizuri nilichomshauri.....umekurupukaHahahaha ni nzuri? Kwa mlengo upi? Ajira zake anaweza kuomba maeneo gani,akitaka akijiajiri kuna uwezekano huo kwa mtaji wa wastani? Hivyo ndo anachotaka kusikia ukisema nzuri tuu sio sawa
Atubishani tunaelekezana, sentensi ya mwisho umesema ni nzuri asee iyo ndo niliyo kuuliza nzuri kwa muktadha upi maana inaonekna aliyechagua aliiweka option ya mwisho kukamilisha ratiba sio kitu alichopenda kusomaSoma vizuri nilichomshauri.....umekurupuka
"Pia kama hana option nyingne pakwenda mnitafute KWA msaada zaidi"hii ndiyo sentensi ya mwisho .....Atubishani tunaelekezana, sentensi ya mwisho umesema ni nzuri asee iyo ndo niliyo kuuliza nzuri kwa muktadha upi maana inaonekna aliyechagua aliiweka option ya mwisho kukamilisha ratiba sio kitu alichopenda kusoma
neno nzurii asee, ndo point nilitaka uifafanue kumsaidia kuielewa zaidi kozi lakini naona utaki kuelewa wala kumuelewesha mwenye swali"Pia kama hana option nyingne pakwenda mnitafute KWA msaada zaidi"hii ndiyo sentensi ya mwisho .....
Na hakuna sehemu yeye kasema kaweka option ya mwisho(Umetunga haya maneno na ni mawazo YAKO)) ......hujanielewa vizuri ww sijamforce aje na nimesema mpaka ameiweka kama option si ilikuwa priority kwake ???
"DON'T JUDGE THE BOOK BY ITS COVER"
Mwenye swali hajaleta feedback ko tulia tu .....kunywa mtori nyama zipo chinineno nzurii asee, ndo point nilitaka uifafanue kumsaidia kuielewa zaidi kozi lakini naona utaki kuelewa wala kumuelewesha mwenye swali
Yah chuo n SUA na ilikuwa option ya mwisho na ndo kapata iyo lakin haelew kama itakuja kumsaidia huko mbelen yaan kifupi haelew yaan na watu wanamzingua sn msuli wa SUA n mgumu mno ss anawasi asije jiumiza kichwa miaka yote aje apate stress mtaan bora akasome hata diploma ya udaktar na sie ndugu zake hatukufika izo level za elimu ya juuBila shaka hio kozi ni ya SUA......
Swali langu hio kozi mpaka amechaguliwa si ilikuwa priority yake???
Ni nzuri asee ila kama Ni SUA nasisitiza hakuna mchezo mchezo huku chuo ni cha moto...pia kama hana option nyingne pakwenda mnitafte KWA maelezo zaidi
Kaka kwanza amna kitu kigumu mtu ukikipenda ila kama ulilazimisha ndo shida inakuja kwenye kujitoa, la pili kama swala ni ajira ndo mawazo yake me binafsi nitakushauri mjipange asome diploma ya kozi za afya kama ndo vitu anapenda ijapokuwa sio guarantee kuwa uko ndo kuna ajira 100% .Yah chuo n SUA na ilikuwa option ya mwisho na ndo kapata iyo lakin haelew kama itakuja kumsaidia huko mbelen yaan kifupi haelew yaan na watu wanamzingua sn msuli wa SUA n mgumu mno ss anawasi asije jiumiza kichwa miaka yote aje apate stress mtaan bora akasome hata diploma ya udaktar na sie ndugu zake hatukufika izo level za elimu ya juu
Aquaculture coz nzuri Sana mi nmemaliza SUA naifahamJaman kuna mdogo wang kachaguliwa kozi ya acquaculture ss ananiuliza vp iyo kozi itamfaa au mana analia tu haelew n mtt wa kike
Ok vzuri kaka hata dogo nmemshaur ivo kumbe sijakosea nmemuonesha hii msg kafurahi snAquaculture coz nzuri Sana mi nmemaliza SUA naifaham
SUA??Jaman kuna mdogo wang kachaguliwa kozi ya acquaculture ss ananiuliza vp iyo kozi itamfaa au mana analia tu haelew n mtt wa kike
Yah kachaguliwa suaSUA??