Private.Ndugu yangu kapata ufaulu huo hapo juu.
Amepata accountancy IFM Ila lengo lake asome Bachelor of Nursing.
Je, kwa hapa Bongo atapata chuo gani? Ushauri please?
Ume mshauri lakini hujampa sababu. Na hujamshauri Kwa matokeo yake asome kozi gani mkuu!Asithubutu kusoma Nursing
YesNdio Anajilipia
Aende tuu IFM..... aseehNdugu yangu kapata ufaulu huo hapo juu.
Amepata accountancy IFM Ila lengo lake asome Bachelor of Nursing.
Je, kwa hapa Bongo atapata chuo gani? Ushauri please?
Wakifika vyuoni sii Kuna kipnd cha kubadlsha kozi!! anaweza kuchangeJaman kuna mdogo wang kachaguliwa kozi ya acquaculture ss ananiuliza vp iyo kozi itamfaa au mana analia tu haelew n mtt wa kike
Si kuna kuhama kozi ukiwa chuoni kama kuna nafasi na marks zinatosha kushindania kozi anapotaka, lakini kuna kuhama chuo kwenda kozi anayotaka ila vyuo vya private Ada iko juuu sio pouwaJaman kuna mdogo wang kachaguliwa kozi ya acquaculture ss ananiuliza vp iyo kozi itamfaa au mana analia tu haelew n mtt wa kike
Ss haelew yaan vp iyo kozi n nzuri anaweza soma au ndo ahameSi kuna kuhama kozi ukiwa chuoni kama kuna nafasi na marks zinatosha kushindania kozi anapotaka, lakini kuna kuhama chuo kwenda kozi anayotaka ila vyuo vya private Ada iko juuu sio pouwa
Hawezi pata sasa ivi hata ioo nursing ambao naona watu wanaibeza kuipata ni shida kuna jamaa angu ana div one ya nane hajapata hata ioo nursing meingine alikosa chuo cha serikali mwaka jana alibahatisha mwaka huu na kupata nursing yy alikau na one ya sabaAende tuu IFM..... aseeh
Kwa nursing atapata kwa ufaulu huo? Kwa ngazi ya Bachelor?
Mzee amna kozi nzuri nchi hiii, ikiwa ata madaktari wanaohitajika sana wapo wengine mtaani , kozi asome aliyo na passion nayo ambayo ataweza kujiajiri ata mwenyew, akienda na perception za ajira ataumia ajira ngumu kila mahali, kila mtu anawaza ajira, iyo kozi ni mambo ya ufugaji wa samaki sijui vizuri, afate passion yake na kitu kinachompa skills za kupambana na maisha bila ivyo iyo miaka 3 or 4 itakuwa bureSs haelew yaan vp iyo kozi n nzuri anaweza soma au ndo ahame
Then marks sio nzuri sana hizo kozi zingine awezi pata kwakweli labda arudi diplomaMzee amna kozi nzuri nchi hiii, ikiwa ata madaktari wanaohitajika sana wapo wengine mtaani , kozi asome aliyo na passion nayo ambayo ataweza kujiajiri ata mwenyew, akienda na perception za ajira ataumia ajira ngumu kila mahali, kila mtu anawaza ajira, iyo kozi ni mambo ya ufugaji wa samaki sijui vizuri, afate passion yake na kitu kinachompa skills za kupambana na maisha bila ivyo iyo miaka 3 or 4 itakuwa bure
Apo umenena akiweza aanze CO, akishindwa aende tuu aiefuemuHawezi pata sasa ivi hata ioo nursing ambao naona watu wanaibeza kuipata ni shida kuna jamaa angu ana div one ya nane hajapata hata ioo nursing meingine alikosa chuo cha serikali mwaka jana alibahatisha mwaka huu na kupata nursing yy alikau na one ya saba
KAMA ZINAMTISHA VIZURI AKASOME CO AF AJE AJIENDELEZE KUA DAKTARI LASIVYO ATAENDA KUSOMA KOZI AMBAZO ZINAHIGAJIKA WATOTO WA WAKUBWA NDO WASOMO
USHAURI TU!
Ndugu yangu kapata ufaulu huo hapo juu.
Amepata accountancy IFM Ila lengo lake asome Bachelor of Nursing.
Je, kwa hapa Bongo atapata chuo gani? Ushauri please?