mbwa kichaa
Member
- Nov 11, 2013
- 89
- 16
anko iyo ni dalili mbaya sana
Utafiti unaonesha kwamba kati ya asilimia 20 hadi 30 ya wanawake wenye mimba changa wanapata hali ya ku- bleed, na karibu nusu yao, mimba zao zinakuwa hazijaharibika. Hii ni hali ya kawaida, ingawaje kuna uja uzito ambao siyo halisia ambao pia husababisha ku-bleed. Aina hii ya uja uzito mara nyingi hutokana na kukua kwa abnormal tissues badala ya kuwepo kwa kitoto kichanga (molar pregnancies). Katika hali hii bleeding hutokea, na hujulikana kama Gestational trophoblastic disease. Dalili za hali hii ni kutoka damu ukeni, kutokuwepo kwa mapigo ya moyo ya kichanga (kwa sababu hakipo) na kuonesha kiwango kikubwa cha hGC katika damu. Anaway tuache hiyo, lakini kwa ufupi, Bleeding can occur in early pregnancy due to the following factors;Hi! Jf, swali kwa wanajua tu.leo nmempeleka mchumba wangu hospital amepima amekutwa ana mimba ya mwezi mmoja,, bt ameingia period leo, je mtu anaweza kuingia period while yuko mimba ya mwezi mzima? Majibu kwa daktar 2mechukua wote.
Nawasilisha.