Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 2,897
- 4,314
Huna akili ndugu anakupangiaje mtu wa kumuoa au kutomuoa? Maamuzi Fanya mwenyewe ili ukikosea au kupatia ujadipongeza au kujilaumu wewe,Habari wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nipo njia panda nahitaji ushauri wa ziada.
Me ni muislam mwenzangu kristo lakini ndg wamesema nisimuoe kisa dini zetu ni tofauti na wamesema nikitaka kumuoa basi mahari nijilipie mwenyewe.
Nilijaribu kuhoji wameniambia wengi walioa wakiristo hawakufika popote kimaendeleo na kimahusiano yani mahusino yanakua hayaeleweki pia ukiangalia huyu binti anamimba yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cna mkuu mahari ila ninapo pakujiegesha kwani babu kanipa chamba kimoja naishi buree na ajira bado sina.Sasa unashindwa nini kujilipia mahari mwenyewe kama mimba ulimpa mwenyewe
Mimba umpe wewe then usimuoe, unataka mwenzio awe singo maza
Kuna ndoa za bomani, kuna kuweka makubaliano baina yenu na maisha yakaendelea tu
Eti wanasema kuoa mkirsto kwao nimwiko na familia yake haieleweki hizo nimoja ya 7bu mkuuHuna akili ndugu anakupangiaje mtu wa kumuoa au kutomuoa? Maamuzi Fanya mwenyewe ili ukikosea au kupatia ujadipongeza au kujilaumu wewe,
Eti wanasema kuoa mkirsto kwao nimwiko na familia yake haieleweki hizo nimoja ya 7bu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeCna mkuu mahari ila ninapo pakujiegesha kwani babu kanipa chamba kimoja naishi buree na ajira bado sina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cna mkuu mahari ila ninapo pakujiegesha kwani babu kanipa chamba kimoja naishi buree na ajira bado sina.
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi ajira ndio inampa mtu mimba?? hi ni new technologi!!!!!Huna ajira unampaje mtu mimba sasa.. acha masihara
hivi ajira ndio inampa mtu mimba?? hi ni new technologi!!!!!
sijakuelewa ndio maana nimeuliza....mimba na ajira wapi na piwa....Vyovyote unavyowaza mkuu
ila natumaini umenielewa
Wakati unastarehe naye uliwaomba ushauri ndugu zako kabla ya tendo ??????????????Habari wakuu