juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa bestito nawe una mambomimba ishampata baba anayejielewa we shukuru umedonate mbegu
Hahahahamimba ishampata baba anayejielewa we shukuru umedonate mbegu
na ndiyo ukweli wenyewehahahahaaaaaaaaaaaaaaaa bestito nawe una mambo
Sio yako iyo mimba!Wadau habari zenu?
Nina msichana ambaye kwa bahati mbaya siku ya kwanza tu tumeonana nakumbuka alilala kwangu tulifanya mapenzi bila condom[emoji5] [emoji5] [emoji5]. Sasa huyo binti anadai ana mimba yangu ambayo sasa ni miezi minne.
Kilichonistaajabisha ni kwamba ananiambia tuachane na hataki habari za mapenzi na mimi na hadi kliniki kaenda peke yake. Sina amani najiuliza ni kweli mimba ni yangu?