Ana meno mazuri

Bukya

Senior Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
196
Reaction score
121
Kijiji kimoja kilivamiwa na watu wakatili. Katika familia moja kulikuwa na mtoto mlemavu mwenye umri wa miaka 12. Wazazi wake walipokimbia hakuwa na uwezo wa kukimbia walimwambia akae kama amekufa hivi. Hivyo aliachama. Maadui walipofika walishangaa usafi wa meno yake wakasema huyu amekufa lakini ana meno mazuri na masafi sijui alikuwa anatumia dawa gani. Mtoto huyu akasema, “Natumia Colgate.” Wakajua hajafariki.
 
Aisee... kwa hiyo walimuua?

Au na wewe ulikimbia na hukujua kilichoendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…