Habari zenu wana JF...
Nilikutana na mke mmoja ambae tulikuwa na mazoea tu nikama rafiki yeye ni mfanya kazi kwenye ofisi binafsi.
Maisha yaliendelea eneo alipokuwa anaishi palikuwa na duka na pindi tulipo kutana yeye vijuisi sodasoda ni kama salamu tulipo kutana maisha yaliendelea.
Lakini mda wote huo atukuwai kupeana mawasiliano siku tuliyopeana no. ikawa kama ndo nilimkaribisha kufunguka kihisia juu yangu ukweli aliumbika na ana uzuri wa umbo la aina yake.
Kweli nimda nilikuwa namtamani mwisho wa siku akawa kwenye fensi yangu lakini siku moja niligundua ana mchumba wake aliesha mtolea posa nika muliza akakubali nikimuliza tuachane eti itakuwa siri na uyo mtu wake anasoma.
Je, ninani atakae nishawishi kuoa kama hali ndo hii kwasababu huaminifu hakuna karibuni jamani.