Ana mchumba lakini ananitaka

Ana mchumba lakini ananitaka

6alfabet

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
389
Reaction score
69
Habari zenu wana JF...

Nilikutana na mke mmoja ambae tulikuwa na mazoea tu nikama rafiki yeye ni mfanya kazi kwenye ofisi binafsi.

Maisha yaliendelea eneo alipokuwa anaishi palikuwa na duka na pindi tulipo kutana yeye vijuisi sodasoda ni kama salamu tulipo kutana maisha yaliendelea.

Lakini mda wote huo atukuwai kupeana mawasiliano siku tuliyopeana no. ikawa kama ndo nilimkaribisha kufunguka kihisia juu yangu ukweli aliumbika na ana uzuri wa umbo la aina yake.

Kweli nimda nilikuwa namtamani mwisho wa siku akawa kwenye fensi yangu lakini siku moja niligundua ana mchumba wake aliesha mtolea posa nika muliza akakubali nikimuliza tuachane eti itakuwa siri na uyo mtu wake anasoma.

Je, ninani atakae nishawishi kuoa kama hali ndo hii kwasababu huaminifu hakuna karibuni jamani.
 
mmoja wenu kati yako na huyo mchumba wake atakuwa spare
 
mchumba sio mke, wala vitabu vya dini havisemi wala kutuamuru kuwa na wachumba, wala kufunga pingu za uchumba....

Tafakari....
 
6alfabet;
Wahaya bana,kuhoa na akuna ndiyo nini.
Any way haya mambo kaka ni vipimo vyako tu huwa hayana kanuni wewe unajua baya na zuri kupanga ni kuchagua tumia vipimo vyako na taluma ya fasihi siyo kila ushauri utakufaa.
 
Last edited by a moderator:
Angalia usije jidhania umesimama kumbe ushaanguka.
 
habari zenu wana jf....
...... atakae nishawishi kuhoa kama hali ndo hii kwasababu huaminifu akuna karibun jamani


Unamaanisha nini hapo rafiki? Sasa kama hata kiswahili sanifu kinatushinda, tukimbilie wapi?
 
Siku nyingine uje kuandika uzi kama huu ukiwa umeshamgegeda kabisa.

Naona story yako imening'inia...unaonaje ukamalizie halafu ndio urudi?

Hadi kupeana no.ni wazi mnaonesha dhamira ya kufika mbali...go and do it kabla huajadakwa kwa kudhaniwa unapiga.
 
This is the world of darkness,inauma sana ukitafakari kwa kina mambo haya,though kwa namna shetani alivyotupiga upofu tunaona mambo ya kawaida.
 
Watu kama hawa ni kukamatwa na kukatwa vidudu vyao tu
 
Mpe mimba, huyo bado yuko open posa italudishwa...
 
Kama ni hivyo utakapokuwa nae wewe usijeshangaa ikitokea kuna mwanaume mwingine nae atamtaka
 
Mke wa mtu........halafu bado ana mchumba?!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom