basi hiyo ndio dawa pekee!wawe wanatumia kiingereza pekee!Mwambie aongee English tu, yaani ni miracles huwa kinapotea tu chenyeweeeeeee.
kuna siku nilienda pale shelly's mwenge, dah kuna mdada mmoja ana kithembe balaaa. huwa wengine najikaza kucheka lakini yule nilicheka mbele yake tena ofisini kwake. akaniuliza eti "thatha unacheka nini tha ajabu"? ngoja uthae mthotho kama mimi.
sister nataka nije mbezi bana tunong'onezane kitu!
mi ndo nawapenda hao mkuu hebu nipe link uone balaa
Habari zenu wana mmu!
I hope most of you now are opening boxes... Wishing a happy boxing day!
Sasa wadau, mimi leo sijui niite vipi, binafsi kithembe sikipendi kama nini!
Haya bwana, leo nimekutana uso kwa uso na toto very shaped from zanzibar! And she told me she is her in the city just for these holidays!
Binti wa watu hana nyodo wala mikogo, si mgum wa kuongea wala hakusita kuitika nilipotia neno moja baada ya lingine!
Jamani ghafla tu from nowhere nimejikuta nimempenda kwa muda!
Sasa tatizo hapa binti ana kithembe jamani, dah! Kila akiongea yani kwenye sa anaweka tha!
Wadau, sijaja kupigwa mawe hapa tafadhali!!!! Tuongeeni tu kwa amani, tatizo hili tunawezaje kulieliminate jamani?
Kithembe sikipendi kama nini!
Nimependa hapo kwenye red...hebu tupia picha yake tuthibitishe huo uzuri wake na m-record akiwa anatamka neno boxing utuwekee kuthibitisha
ila sio home kabisa... mmh!