Ana kipaji kikubwa cha kuimba, anahitaji msaada

Ana kipaji kikubwa cha kuimba, anahitaji msaada

Anaimba vizuri lkn kwanini msijaribu kuwacheki hao WCB nyinyi Kama nyinyi?

Nafikiri pia anaweza pata meneja mwengine si lazima WCB tu! Ajitangaze watamuona ilitakiwa hata awe na video ama audio nyingi zaidi social media watamuona tu. Atumie njia ya kipaji chake watu wamfate.
Mawasiliano Ndo Hatuna Mkuu
 
Ushauri: Atembelee studio za producers atarekodiwa bure hapo ndo pakutokea.
 
Ukinipa masaa mawili Na nauli naweza kuingia temeke nikakukusanyia mabinti 100 wanaoimba kama au Zaidi ya huyo mdada
 
WCB lazima utafunwe kwanza then wanakwambia tusikilizie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom