hillman
Senior Member
- May 28, 2014
- 159
- 45
Lakini kabla ya kupata huo ujasiri, naombeni mnishauri wadau, katika nyumba niliyopanga, kuna mama mmoja nakaa nae, ana watoto japo wote wako shule, mme wake alifariki 2008, so huyo mama ni single mum, nimekua nikiishi nae fair siku zote lakini uzalendo umemshinda mwenzangu.
Ana kila dalili za kunitaka kimapenzi, sijui ni kutokana na upweke alio nao siku nyingi kuishi bila mwanamme, najua nae pia ni binadamu, mungu akuweka mapenzi sio tu kwa ajil ya kuzaana lakini pia kwa ajili ya kuenjoy na kupeana raha.
So ni huruma kwake kuishi bila kuwa na faraja kwake. Nimejitahidi kuepuka kuwa nae karibu kwa vile nimekua na ideology kuwa ye ni mtu mzima kwangu, lakini ni wapi kunazungumzia umri kuwa ni kikwazo cha kimapenzi, eti nitamkosea heshima, nani kasema kufanya mapenzi ni kitendo kichafu, go to hell this ideology, this weekend am going to ---- u madame