Ana kaumbo flani amazing

Ana kaumbo flani amazing

Miongoni mwa mambo ambayo nitamshukuru MUNGU hadi kufa ni kuniepusha na hili balaa la kuwa na Dada au Ndugu mwenye kufanya mambo kama haya, sijui ningeweka wapi uso wangu, yaani ndio dada yako au mdogo wako au mpwao hivyo!!! Yuko hivyo aaaaghhh MUNGU kwa hili nakushukuru hadi kufa kwangu

Subiri mpaka ufe ndiyo ushukuru Mungu. Anaweza kutokea mjukuu au mwanao akaanza kufanya hizi mambo
 
Namuheshimu sana President Mugabe kwa "quotes" zake...
Mwanamke ni kama bwawa la kuogelea, usijusumbue kuuliza aliogelea nani, nani unaogelea naye, atakuja nani kuogelea, nani anataka kuogolea. Cha muhimu wewe furahia kuogelea tu kwa nafasi yako"
 
d9b5d0ce54c9eeb7721f27f8e13a083c.jpg


HII NDIO JANJA YAKE ILI AONEKANE ANA CHURA NA HIPS ZA BAMZI
 
Dah sijui wa nchi gani hawa,huku Tanzania wasichana wote wana matumbo kama mimba ya panya.

Wanakula chips na kuku wa kisasa,wapi huko nihamie.
 
Back
Top Bottom