Ana hasira, STD Seven, nipo njia panda!

Ana hasira, STD Seven, nipo njia panda!

Wakuu Wasalaam, ni muda kidogo sijaweka andiko hapa!

Nawaza mengi....atakuwa wife material kweli ???? ni move on nitafute mwingine ? japo najua ni ngumu sana kumpata mtu wa aina yake, ana mengi mazuri na hayo mapungufu machache, ishu ya elimu sio kikwazo.....hizo hasira ndio shida! Wana MMU mawazo yenu ni muhimu
Nimesoma juu juu but the basic principle ni kwamba, oa mwanamke ambaye anakunyegesha... Yule ambaye hata kama umerudi nyumbani umechoka bado anakupa hamasa... Sio yule dizaini mpaka uvute stim kwa mbaali...
Of course kuna changmamoto kwa kila mwanamke. Mwanamke msomi ana changamoto zake na mwanamke asiye msomi pia ana changamoto zake...
 
Kwa kweli ktk kuwafahamu wanawake niligundua kuwa ni ngumu sana kumpata mwanamke mwenye sifa na vigezo vyote unavyovitaka wew ...
Mfano,unaweza ukampata msomi ila akawa na dharau,anamaisha ya wadada wa mjini daslamu yaan n full kuwaza bata tu na kujipodoa,pia anaweza akawa amesomea kazi ambazo sio vipaumbele sana kwa mke kuzifanya kaz hzo kutokana na ubize,mfano labda n nesi,daktari,Polisi au hata mwanajeshi...na ukimpata ambae amesoma na anajiheshimu waweza kukuta ana sura isiyokuvutia kabisa yaan huna feelings nae...
Mwingine unapata kama huyo wako tatzo linakuja kwwnye shule,unakuta elimu hana naww unataka awe na elimu walau kidogo ,ajue hata kiingereza cha kuombea maji,hahahaaaa...
Kiukweli ukipata mwanamke mwenye at least nusu ya vigezo ulivyojiwekea bhc huyo anafaa kuwa mke wa kuoa labda awe ana zile tabia ambazo hata kama n tabia moja ila n ya hatari sana ,mfano n mchawi,mlevi n.k.....ila hayo mapungufu n ya kawaida sana ..hata wew hauna sifa zote za mwanaume amtakaye ila ameona mapungufu yako na hana budi kukufichia mapungufu yako maana tyr kashakupenda.....
 
Kumbe na nyie hamjielewagi mnatafuta nn..haya nenda katafute slay queen wanaojua english na wamesoma
 
Tafuta mcharuko mwenzio, huyo hakuwezi maana kama unataka kuoa kiingereza mtafute yule alikuwaga supika wa libunge!! Yuko singo kama sikosei
Huyu anataka mcharuko na wale wa english ya kuigiza
 
Mkuu kweli bila english hii dunia ni shinda kuishi, lakini mimi naona ni vizuri umupeleke shule, siku hizi sio lazima mtu aende shule iko aina ya software unaweza mununulia asome english poa kwanza kisa umufundise umuhimu wa maisha vile unataka je unataka awe housewife jambo ambao sio sawa siku hizi, sasa akisasoma unaeza muwekea bussiness, hapo atakuwa na elimu ya kufanya bookkeeping, balancing accounts, knowing profits and loss, assets and liabilities and such things. kuhusu hizo hasira zinaletwa na kukosa elimu, unajua kitu kinaitwa EMOTIONAL INTELLIGENT??????hio ndicho anakosa na hicho unaweza kukitoa akipata elimu sababu elimu nio huondoa IGNORANCE AND STUPIDITY, so plan how to educate her, and the rest will follow, hope i have adviced you on the best way forward sir, be blessed and nice week.
thanks mkuu kwa nasaha zako
 
Mtoa mada inaonekana ww ni mwanaume usiejielewa, wenzio huku tunapata pasua vichwa, ww umepata wife material hlf unaleta usoro, kuhusu swala LA hasira thats a minor issue, hakuna alie perfect, unaangalia elimu ya huyo mdada, ww mtoa mada umekua wa kike? Coz mademu ndo wana mambo ya kuangalia elimu ya mwanaume, ningekua karibu yako ningekupia makofi, watu mnapata bahati hlf mnazichezea..as long as anakuvutia kimwili na anaku-treat fresh muoe huyo, mengine yatajulikana mbeleni
mkuu thanks kwa ushauri....umeongea kwa hisia sana
 
Kwa kweli ktk kuwafahamu wanawake niligundua kuwa ni ngumu sana kumpata mwanamke mwenye sifa na vigezo vyote unavyovitaka wew ...
Mfano,unaweza ukampata msomi ila akawa na dharau,anamaisha ya wadada wa mjini daslamu yaan n full kuwaza bata tu na kujipodoa,pia anaweza akawa amesomea kazi ambazo sio vipaumbele sana kwa mke kuzifanya kaz hzo kutokana na ubize,mfano labda n nesi,daktari,Polisi au hata mwanajeshi...na ukimpata ambae amesoma na anajiheshimu waweza kukuta ana sura isiyokuvutia kabisa yaan huna feelings nae...
Mwingine unapata kama huyo wako tatzo linakuja kwwnye shule,unakuta elimu hana naww unataka awe na elimu walau kidogo ,ajue hata kiingereza cha kuombea maji,hahahaaaa...
Kiukweli ukipata mwanamke mwenye at least nusu ya vigezo ulivyojiwekea bhc huyo anafaa kuwa mke wa kuoa labda awe ana zile tabia ambazo hata kama n tabia moja ila n ya hatari sana ,mfano n mchawi,mlevi n.k.....ila hayo mapungufu n ya kawaida sana ..hata wew hauna sifa zote za mwanaume amtakaye ila ameona mapungufu yako na hana budi kukufichia mapungufu yako maana tyr kashakupenda.....
thanks kwa neno mkuu
 
Wakuu Wasalaam, ni muda kidogo sijaweka andiko hapa!

Kwanza kabisa poleni kwa msiba mkubwa wa kitaifa kupitia kuzama kwa Kivuko cha MV NYERERE, kama watanzania tulivyo ndugu kila mmoja aliguswa kwa namna yake, M/Mwenyezi azipokee roho za wale marehemu na pia awape nafuu wale majeruhi waweze kupona haraka!

Back to the topic, Mara baada ya kuhitimu chuo kuna mdada nilikutana nae, kwa kweli alinivutia sana, kama kawaida nikafunguka ya moyoni alinielewa japo kwa shida sana mwishoni akakubali tukawa wapenzi! Niseme tu ukweli ni kwamba nilitamani kupita nae tu maana nilikuwa na mtu wangu tulotoka chuo pamoja! Lakini kadri siku zilivyozidi kwenda nilijikuta nazidi kuvutiwa nae, hatimae likawa koloni la kudumu....yule wa chuo tulipotezeana na kikubwa kilichochangia ni umbali kwani kulingana na majukumu ya kikazi mimi nilibaki dsm na yeye yupo mkoa mwingine, maisha yakaendelea na huyu mpenzi mpya kama kawaida!

Huyu mpenzi mpya ni mtu flani muelewa sana, hana makuu , hajikwezi, yupo natural , neno samahani anajua kulitumia vyema pale linapohitajika! kwa kifupi ni wife material....hata kupewa kale kamchezo kwa mara ya kwanza tuseme nilimbaka...maana nilifanya kuforce sana baada ya kumkaribisha kwangu.....nakumbuka ile siku nilipiga kimoja kwa shida na alilia sana akinipa lawama, sijui hatujapima, mara nikimuonja ntamuacha nk!

Tuje kwenye maisha ya kawaida huyu ni mjasiriamali mdogo......ana pato la wastani, anajua kumake bajeti vizuri, anasomesha wadogo zake(baba yake alishafariki), pia hapa town keshanunua kiwanja! hapo namzungumzia mdada wa 20-26! ananishauri mambo mengi sana, pia anapenda sana kunikutanisha na ndugu zake pia hata mama yake aliyeko mkoani huwa nikiwa nae ananipa simu namsalimia! Pia ni mtu flani hana tabia hizi za wadada wa mjini...sijui mambo ya kula bata,gharama kubwa za saloon, mavazi nk! akiniazima hela anairudisha tar aliyoahidi akishindwa ataomba nimpe muda lakini huwa anairudisha, na akiniomba hela anaomba kiasi fulani na atakupa sababu za kukuomba na hela ataifanyia nini ! mapema mwaka huu mwezi april nilisafiri kwenda nyumban alinipa zawadi kadhaa nimpelekee mama (vitenge viatu n.k)

Ok kwa muhtasari huo nadhani nimeeleweka aina ya mtu niliye nae kwenye mahusiano! Shida iliyonileta hapa ni hii..huyu mtu kaishia darasa la saba, ugumu wa maisha ulimfanya asiendelee na elimu ya juu, hii ikapelekea kuishia la saba na kutafuta kazi! kwa elimu hiyo nawaza hata tukioana si atashindwa hata kumuelekeza mtoto home work ? maisha yanaenda kasi sana kiingereza kina umuhimu wake japo wengi mtanipinga! Jambo lingine na kubwa zaidi huyu mtu ana hasira japo kiasi chake.....anaweza kukujibu vibaya akiwa na hasira baadae akipoa atakuomba msamaha na machozi juu.....alishawahi kufanya jaribio la kutaka kijiua , ni hivi alikunywa sumu ila aliwahiwa wakampeleka hsp akapona! sababu kubwa ni matatizo ya kifamilia (ni story ndefu kidogo)! kipindi alichokunywa sumu tulikuwa bado hatujaonana, ni yeye alinipa story nzima ilivyokuwa........

Nawaza mengi....atakuwa wife material kweli ???? ni move on nitafute mwingine ? japo najua ni ngumu sana kumpata mtu wa aina yake, ana mengi mazuri na hayo mapungufu machache, ishu ya elimu sio kikwazo.....hizo hasira ndio shida! Wana MMU mawazo yenu ni muhimu
Mkuu kwa ulivyomwelezea hapa hauna budi kumwoa binti wa watu.

Hakuna mwanamke aliyekamilika kila kitu, kuna mambo mengi sana tunachukuliana.
 
Kipimo cha mwanamke wa kuoa sio elimu, amini nikwambia tena elimu ndo imewafanya wawe vilaza kabisaaaa..kuhusu hasira huyo ana bad past experiences unaweza mtibu km kweli ukimpenda tok moyoni.....mi nadhani huyo anafaa madhaifu yake ni afadhali...nimedate wasomi wengi ila sijawahi kuona tofauti ya mwanamke aliyesoma na asiyesoma kama nimeziona basi ni ujinga wa baadhi ya wanawake waliosoma. Sa nyingine mpk naaminigi babu zetu kama walipatia kuwanyima elimu
 
Hakuna aliekamilika kaka, ukisema umuache utamkuta mwingine ndio mapungufu zaidi ya huyo, ukaanza kujijutia tn.
 
Kizuri hakikosi kasoro. Bora huyo ana hasira tu, wengine wanalia na kusaga meno wamekutana na wenye roho mbaya. Kujua lugha ya Kingereza mpeleke kwa Rasi Simba, week tu anakuwa kama kazaliwa London.
Huyu Ras yuko overrated ila anajitahidi kiasi,ushuhuda upo,British Council panafaa sana kwa anaenuia kujua kiingereza fasaha.
 
Kipimo cha mwanamke wa kuoa sio elimu, amini nikwambia tena elimu ndo imewafanya wawe vilaza kabisaaaa..kuhusu hasira huyo ana bad past experiences unaweza mtibu km kweli ukimpenda tok moyoni.....mi nadhani huyo anafaa madhaifu yake ni afadhali...nimedate wasomi wengi ila sijawahi kuona tofauti ya mwanamke aliyesoma na asiyesoma kama nimeziona basi ni ujinga wa baadhi ya wanawake waliosoma. Sa nyingine mpk naaminigi babu zetu kama walipatia kuwanyima elimu
nashukuru kwa maoni
 
Back
Top Bottom