Anaoa mwalimu wa homework!Unaoa mke au elimu?

Kwanza tuanzie hapo ulipobaka tukufungulie kesi ikiisha tuendelee na mengine mbakaji mkubwa ww


eheh nacheka sana hapa😂😂akikushinda pia sogeza huku!Ukimpoteza huyo", umepoteza ," bingo ..... tafadhali ukifikiria kumuacha naomba unipigie Pasi
Umeniwahi madame!Unaoa mke au elimu?
hahaa kwa hizo sifa Alizozitaja ndugu muandishi"dhidi ya huyo demu wake"... Aisee akija kwangu siwezi kumuacha aende mkuu😂😂akikushinda pia sogeza huku!
Akaoe wemaKwamba unataka anaejuaa Kingrezaa au???
Jamaa anachezea gold mchanganihahaa kwa hizo sifa Alizozitaja ndugu muandishi"dhidi ya huyo demu wake"... Aisee akija kwangu siwezi kumuacha aende mkuu
😂😂mama Anna makinda?Tafuta mcharuko mwenzio, huyo hakuwezi maana kama unataka kuoa kiingereza mtafute yule alikuwaga supika wa libunge!! Yuko singo kama sikosei
😂😂Anaoa mwalimu wa homework!
yeye anataka mke" au anataka elimu"... kama vipi akaoe DARASAJamaa anachezea gold mchangani
Anahangaika na elimu za kibongo hazina application kwenye real life!