An Open Letter To My Ex.

Sure mkuu, love inaumiza na kuyasahau maumivu yataka moyo au kipaji tu.
 
Reactions: BAK
Kimombo oyeeee
Kinyooshe nyooshe sehemu sehemu.. rudia kujisoma.
 
Ihiiiiii ni mapenzi tu au kuna na linbwata ndani yake
 
Probably. Thank You so much.
 
mmhh mim jana tu nimetoka kuachwa na my lovely girl kiukweli tulipendana sana but yeye ndo uamuzi wake tuachane kwa sababu zake binafsi mbili au tatu ila anataka tuwe marafiki wa kushibana hadi mwisho nikikataa ivo nimechagua kuwa adui yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuzote usikubali demu anakuacha halaf hapo hapo anataka uwe rafiki yake. Agachangia ww kuto ku move on. Na pia anakuweka kiporo.. iwapo alienae akifeli anarud kwako tena.

Ww pandisha dhamani yako. Muonyeshe you can live without her.
Hiyo itamchanganya sana japo hatokwambia.
Just move on without kujal anawaza nn
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kinauma kumuacha demu mzuri anapata jamaa fasta na wanaanza kula raha wakati kupata inakua kazi kweli
 
Mh!


 
This is bulshit. I'm nobody's ex. If we breakup,I dont know you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No! She got stuffs rare to find in a woman.
She's a soul snatcher I see,kibuti changu cha kwanza kilinifanya nihame nchi kabisa,ila nilirecover ndani ya muda mfupi,na mpaka leo sijawahi kuwa tena na mapenzi kama ya mleta uzi yale ya kifilipino,fairy tale love, mahaba niue type,nakuwa nipo mguu ndani mguu nje,hata akizingua maumivu ni siku mbili tatu tu yanaisha.
Maumivu ya mapenzi yasikie tu kwa watu,yasikukute,hasa uwe umependa ile kindakindaki alafu huyo uliempenda alikuwa na manjonjo,udambwi namadoido yakipekee,yaani kuna kama tonge/donge unaliskia limekwama kooni,uchungu uchungu,stelesi,majuto na huzuni.alafu kila nyimbo inayopigwa unahisi inazungumzia situesheni yako

Bahati mbaya enzi hizo nlikuwa sjagundua maajabu na faida za mmea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siku nyingine usisubiri kuachwa, muhimu wapandishe cheo wachini yake mpaka upate atakayekufaa.

Always have plan B, C, D, E, F....... Utajua umuhimu wa bima ukipata janga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…