An Open Letter To My Ex.

Uko mbali sana na Mungu ndio sababu uko katika hali hiyo kwa miaka miwili, Ibada ya kila siku haiwezi kukuacha uwe mtumwa was mapenzi hata Sikh moja.

Ha hah

Nani kakwambia nipo mbali na Mungu.?

Sijui nikueleze nini hapa ila She is in my VEINS and I cant help it.
 
Nakuelewa and itsnot like Am not dating.

I just cant forget HER.
 

Ahsante.
 
No formula Chief, nafurahii umefafanua vyema.
 
You cant Hurt some one kwa sababu kama hizo, LOVE is a commitment thing.

NAMPENDA, She knows.
 
Ha hah

Nani kakwambia nipo mbali na Mungu.?

Sijui nikueleze nini hapa ila She is in my VEINS and I cant help it.

Mkuu, Mungu akiwa na nafasi kubwa ndani yako, huwezi pata nafasi ya kumuweka mwanadamu mwenzako uliyeachana naye miaka 2 ilopita kila siku kumuwazia Yeye.

Umekosa balance ya vile uviwekavyo moyoni mwako Mkuu.
 
Ha hah

Haina noumer Bro,
 
In my experience it is very rare. I mean it depends na bahati. Ila most of the time there is no going back
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha my worst break up. 3 years ago.
How spent almost mwaka na nusu kujarib kupona lakini wapi..
The thing is hatuwez wasahau watu ambao yulishare nao best memoments of our life. Daima memory zitabaki pale hata kama tukijarib kuzisahau vip.
The best thing to move on ni kujifunza kuispress hiyo hali. Pole pole utarudi to normal.
Siku ambayo utajua umepona.. ni siku ambayo utakutana na ex wako na usifeel anything

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Love is passion, Mkuu. Mapenzi ni zaidi ya ugonjwa wa akili usipopata tiba utaumiza mwili+ akili+fikra, so kuwa makini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…