Amuua mumewe kisa amewahi kuingia bafuni

Amuua mumewe kisa amewahi kuingia bafuni

Kwa hiyo wewe unapendekeza alje afungwe segerea?kwa nini wamsafirishe kote huko kote mpaka dar tena segerea?bob isije ikawa we ni askari magereza au mfungwa segerea ndo unataka uletewe bibi... Ndo maana unapendekeza aletwe segerea kulima hindi lako.

Aende TU! akatulimie mahindi huko segerea
 
Kitu chenyewe hakiishi ndio tutoane uhai!
 
Mtoa mada uko deep sana hujaacha neno hasa uliposema kitaramanka kata ya mirwa nimewahi kuhudumu huko nadhani utakuwa mwenyej maeneo hayo ila ungeweka picha sasa

acha uongo
 
Kwahiyo mwanaume wa Dar ana nafuu kuliko mkurya??

Mwanaume Mkurya anauliwaje na mwanamke??
Yaani maana yangu ni kwamba, Mwanamke mmoja mgonjwa wa Kikurya ni sawa na wanaume 50 wa Dar walio wazima kiafya.

Eka saa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom