Amuua mumewe kisa amewahi kuingia bafuni

Amuua mumewe kisa amewahi kuingia bafuni

mke alihisi jamaa katoka kucheat jamani halafu inaweza kuwa si kweli
Tena inawezekana alikuwa anawahi kuoga halafu amuombe wife mchezo, ndio shida ya kukurupuka.Dhana ni mbaya sana na ni dhambi kubwa.
Alale pema.
 
Hao ndo wanawake wa Mara....be aware....................
 
Halafu sasa kama wana watoto, ndiyo watabaki bila baba wala mama. Kisa ni wivu ulio pitiliza. Kweli hasira, hasara.
 
Mwanamke au mwanaume anayevizia kigezo cha mwenzi wake kupitiliza bafuni kujua kama ametoka kuchepuka ana nafasi kubwa ya kubugi, wachepukaji huwa wako smart na wanapoingia danger zone huwa wanakuwa na utulivu wa hali ya juu,kama ni kuoga anakuwa ameshaoga toka huko atokapo na hata asipooga immediately bado ni ngumu kumbaini.sana sana utamvictimise mwenza ambae lengo lake lilikuwa kuondoa harufu ya majasho kutokana na mihangaiko ya kutwa akilenga kutokukukera wewe mwenza wake na harufu hizo,wapo watu ambao hawapendi kusikika na harufu mbaya mbele ya wenzao.
 
Ukisikia hasira hasara ndio hii...
Marehemu apumzike panapostahili.
 
Labda alioga huko baada ya mechi na akarudi msafi sana na harufu ya sabuni za guesthouse akakimbilia bafuni kurekebisha mambo wakati mkewe akijianda kumuuliza kaoga wapi sasa hivi. Ila hadi kumuua too much.
 
Daaah

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
kizuri kula na mwenzio........anywa ila kwann husijipange kumuliza na kujua nini tatzo unakimblia kisu....mi sio kujua nshawah kumkuta kwenye kochi na hajajeruhiwa mtu maisha yanasonga mpaka leo
Hahaa mkuu una roho nzuri sana. Habari inasema alimuuliza muulizwaji naona akajibu shombo ndo ugomvi ulipoanzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom