Amuua mke na waya wa umeme

Los santos

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2021
Posts
1,190
Reaction score
2,657
Mike Ilishebo (44) mwanaume wa nchini Zambia amedaiwa kumuua mke wake huyo kwa kutumia waya wa umeme pia kumchoma visu tumboni kisha na yeye kujiua kwa kunywa sumu chanzo kikidaiwa ni mgogoro wa ndoa wa muda mrefu baina yao.

Tukio limetokea huko Lusaka tarehe 3 April hii 2024, baada ya polisi kutaarifiwa na mmoja wa majirani kwa jina la Alice, polisi walipofika eneo la tukio walimkuta mke kashafariki karibu na kitanda na mume amekutwa sebuleni kashafariki akiwa anatoka vitu vyeusi mdomoni.

Mume alikuwa anafanya kazi bank, wanandoa hao wameacha mtoto wa miezi 8.

Baada ya tukio hilo la kushtusha wanaowajua wameibuka kuomboleza mtandaoni kwa kujawa na simanzi.
​
 
dronedrake
 
R.i.R.i.P Classmates....😥
Mmeamua ugomvi kwa kuuana...😪
 
... kuna wawili hapo wameuawa - mke na waya wa umeme wote wamekufa.

Should read amuuwa mkewe kwa ... (the tool used to kill).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…