IGWE Platinum Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,744 Reaction score 8,187 Sep 23, 2011 #1 Wakuu hii nimeipata kule' Kulikoni Ugaibuni blog'....sasa nimeona niilete hapa jamvini maake naamini ni jf pekee(kwa upana wake) inayoweza kuthibitisha ama kukanusha hizi tetesi nawasilisha!
Wakuu hii nimeipata kule' Kulikoni Ugaibuni blog'....sasa nimeona niilete hapa jamvini maake naamini ni jf pekee(kwa upana wake) inayoweza kuthibitisha ama kukanusha hizi tetesi nawasilisha!
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Sep 23, 2011 #2 IGWE said: Wakuu hii nimeipata kule' Kulikoni Ugaibuni blog'....sasa nimeona niilete hapa jamvini maake naamini ni jf pekee(kwa upana wake) inayoweza kuthibitisha ama kukanusha hizi tetesi nawasilisha! Click to expand... mkuu ingia link hii Liyumba
IGWE said: Wakuu hii nimeipata kule' Kulikoni Ugaibuni blog'....sasa nimeona niilete hapa jamvini maake naamini ni jf pekee(kwa upana wake) inayoweza kuthibitisha ama kukanusha hizi tetesi nawasilisha! Click to expand... mkuu ingia link hii Liyumba
IGWE Platinum Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,744 Reaction score 8,187 Sep 23, 2011 Thread starter #3 ndetichia said: mkuu ingia link hii Liyumba Click to expand... asante kiongozi wangu
B brotherhugo Member Joined Sep 27, 2007 Posts 10 Reaction score 0 Sep 23, 2011 #4 Duh! Mitaani tutaisha
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,679 Reaction score 4,382 Sep 23, 2011 #5 dah hivi bado atakuwa na uwezo wa kuendelea kugawa vile vigari vyeye rangi ya hatari?
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,732 Sep 23, 2011 #6 kaaa naona anajipanga kwanza afya irudi kidogo manake kakata ringi balaa ila angeachiwa mara moja habari za maharagwe na bastola kiunoni tupa hukoooo wataanza za lyumba!!!!!!!!! this country bwana!!!!!!!!!!!!!!! Chimunguru said: dah hivi bado atakuwa na uwezo wa kuendelea kugawa vile vigari vyeye rangi ya hatari? Click to expand...
kaaa naona anajipanga kwanza afya irudi kidogo manake kakata ringi balaa ila angeachiwa mara moja habari za maharagwe na bastola kiunoni tupa hukoooo wataanza za lyumba!!!!!!!!! this country bwana!!!!!!!!!!!!!!! Chimunguru said: dah hivi bado atakuwa na uwezo wa kuendelea kugawa vile vigari vyeye rangi ya hatari? Click to expand...