Amua kuwa tofauti

Mbele ndo kuna msemaji, huyu yeye kwanini ameamua kugeuka? Au ndo shetani mwenyewe?
 
naked truth only if it needs to
 
Hii picha ina maana kubwa sana..mana watu wengi tumekua bendera fuata upepo..be different hata mara moja.
 
Hapo kweli maana kila mtu kakariri tikiti maji.....mara mahindi..... mimi msimu ujao naingia shamba nakodi ekari tano yote natandika maharage sitaki kuchanganya na mahindi,,, napalilia na kuweka mbolea nione kama msimu mmoja hautanitoa
 
Harufu ya UKARIBU (mshikamano) pia yaweza kupa matokeo CHANYA..
Penye wengi kuna Mengi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…