Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Amsterdam amefeli sana kama wakili wa LISSU, Kujisifia sana bila kuwa na uhakika ndio tatizo kubwa sana la WANACHADEMA. Tuliambiwa huyu Bob Amsterdan ni kiboko yao mawakili, ana connection hadi uwani mwa state house, kumbe jamma ni afadhali ya kijana wetu KIBATALA .

UNAJUA NI KAWAIDA YA WACHAGA TOKEA ENZI NA ENZI, KUWAABUDU NA KUWATUKUZA WAZUNGU AU WATU WEUPE, NA HIYO TABIA WAMEIINGIZA CHAMANI , NA SASA WANACHADEMA WAKIONA HATA ZERUZERU WANAANZA KUPIGA MAGOTI.
 
The dictatorship started with your boss Bwana Yule. It is my money! Bwana Yule is not his money is our money, you weboroya aiding it. enabler
 
Nilishawahi ku comment mahali kuwa 2020 ndio mwisho wa Chadema na October, Chadema hakitakuwa chama kikuu cha upinzani
So what?,
Tutajuaje kama na wewe uko jikoni?matokeo yalishapikwa b4 uchaguzi,ndo maana mkasema jpm atamshinda lisu kwa zaidi ya kura 12,000,000. Na kweli jpm kapata hizo kura ,mlijuaje wakati uchaguzi ulikuwa bado kufanyika?.
 
Zamani utasema kweli zilichakachulia unajua why kwasababu tulivutiwa na chadema .
Ila now nope mawe wamepitishwa.
Kubalini mmeshindwa basi....
Nani akaandamane ili kwa ajili ya mtu mwingine?
Unaipigania chakula cha mwingine kila siku ai walioenda imetosha.....
Tundu acha kugombea urahisi huchoki utakuja siku ujiapishe kama raila.
 
Web,
Let us be constructive, kwani huyo bwana kama angeleta maendeleo, kweli mimi nilipenda, lakini sasa kwa nini lazima aue watu?? Think JPM puppets aimed 38 bullets, 17 got him, this is barbaric and sadistic in nature, I can't understand this guy what he says when he goes to church, absurd!! Hypocricy
 

Tundu alipoanza kampeni tuu nilicheka, nikamsikitikia, nikaadika hapa anachokifanya Tundu huko majukwaani ni kujibomoa maana ni sawa na mfanyabiashara wa beer na kitimoto kwenda kufungua biashara hiyo Mecca au Madina, sio yeye wala wafuasI wake aliyeelewa.
Wacha aendelee kupambana na bobu wake😂😂😂😂
 
Upuuzi unao wewe kwa kudhani watanzania ni wajinga kama wewe, hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
Kesho si jumatatu? Ingieni road mkatafute haki yenu tena hamtasumbuliwa maana viongoz wenu wamesema mnafanya maandamano ya amani... Kamsapotini lissu kesho na kama kweli mmeibiwa lazma kutakua na nyomi.... All the best makamanda ila msisahau kuaga familia zenu na watoto wenu
 
Naomba Tazama haka ka video. Wakati unatazama chukua na soda moja nakuja kulipa

Huyu mwizi wa pesa za watu ambao wamekata tamaa ya maisha, failures, deplorables! How on earth can you trust this porn artist? Only those people with Lowest IQ, not me. You trust him ok, go with him< as long as you don't touch me.
 
Dawa yao ni hii hapa, wakiendelea kupiga kelele ataongea na Mungu tena.

Naomba Tazama haka ka video. Wakati unatazama chukua na soda moja nakuja kulipa

Hivi dunia zima wewe si unaona, AFRica (South of Zahara), Haiti na Papua New Guinea. Kwa watu weusi. The only country in Western Hemisphere which is poor is Haiti. Inhabitant of blcak people. Sub Saharan Africa (black people), Asia - Papua New Guinea (Black people). Why then we are the only poor? Hiyo video uliyopost ndiyo mipaka yako ya kufikiri. Lisu amewaambia, usilale kungoja Mungu. Nyie Mungu, Mungu, Mungu .... you are abusing God, huwezi kuwa hujitambui halafu Mungu akusaidie.
 
Nchi gani hiyo.
 

Kwa maandishi yako wewe hapo wewe ni mgonjwa wa kuamini uzungu na kudharau uswahili zaidi ya Tundu unahitaji tiba uweze kuijua kweli

Kama unaweza kuwasujudia watu waliotengeneza risasi, kisha wakawapa vibaraka wao wapigane risasi baada ya hapo wakawachukua majeruhi walopigwa risasi na kuwatibu uko brainwashed kwenye level ya juu mnooo
Na utaendelea na kuwasujudia waliotengeneza ukimwi, kisha wakatengeneza dawa wanazowaletea ili muendelee kuwasujudia... ila msiache kumshukuru rais John Pombe Magufuli kwa kuwakomesha waliotengeneza CORONA baada ya kukataa kuuingiza nchi kwenye uharibifu mkubwa waliokua wamepanga wao kwa maslahi yao
 
Mkifa sasa ndio watakuja kuangalia kuna nini, lakini kimya kimya hivi sahau
Sisi tunataka damu imwagike kesho. Maana bila damu kumwagika tqifa halitakombolewa hili.

Hata Yesu alimwaga damu msalabani. Mtume Mohammad S. A. W alipigana Jihad.
 
Don't bite the hand which feeds you! maana yake usiume meno mkono unaokulisha. JPM kila kitu anachotumia hata pesa ni za hao hao unaowabeza wewe. Difference is wewe ni Tahira wa akili, JPM anakutumia wewe unaropoka unamlamba viatu, una bong'oa, anachomeka. Yaani mie siwezi, kwa sababu najijua. Matatizo ya waafrika ni sababu ya waafrika wenyewe, hii nchi ipo 60 years URT, United Republic of Tanzania, still among the lowest quality human being on earth. Singapore 60 years ni kama mbinguni.
 
Mtu mwenye akili ni yule tu anayetambua uwepo wa Mungu na anaamini Mungu ndio msaada wa mwanadamu yeyote. Mbali na halo huyo mtu hana akili
Wewe unafikiri Mungu mjinga kama wewe?? Ati kama vile ndiyo nynyi tu mnamjua Mungu. Polygamists, sinners, Pon artists like Gwaji Boy also preach the world of God, blasphemy!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…